Kama biashara yako ipo kwenye hii list halafu huna website, unawapoteza wateja kila siku!

Kama biashara yako ipo kwenye hii list halafu huna website, unawapoteza wateja kila siku!

Website Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
822
Reaction score
416
Nitaongea ukweli bila kupaka sukari.

Mwaka 2026 mteja hakutafuti kwa kuuliza kwa jirani.

Anachofanya ni kuandika Google:

“Hospitali nzuri karibu nami”
“Car dealer Dar es Salaam”
“Law firm Tanzania”
“Hotel near me”


Sasa jiulize…
Anapoandika hivyo —
anakukuta? au anakutana na competitor wako?

Kama huna website, mara nyingi:
Hutokei kabisa
Unaonekana mdogo
Unaonekana sio serious
Mteja anaenda kwa aliyepo online
Ukweli mchungu:

Biashara isiyo na website leo, inaonekana kama haina ofisi.

🔎 BIASHARA AMBAZO WEBSITE NI LAZIMA (SIO HIARI)

Kama upo kwenye list hii, website sio option:
  • Hospitali na Zahanati binafsi
  • Pharmacy
  • Shule (Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo)
  • Real Estate
  • Udalali wa Magari
  • Car Dealers
  • Hotels & Lodges
  • Tour Companies
  • Travel Agencies
  • Kampuni za Ujenzi
  • General Supplies Companies
  • Logistics Companies
  • Clearing & Forwarding
  • Law Firms
  • Accounting Firms
  • Insurance Agents
  • Microfinance / SACCOS
  • NGOs
  • Churches
  • Salons & Beauty Spas
  • Gyms
  • Exporters
  • Wholesalers
  • Manufacturers
Ukiwa hapa halafu huna website, ukweli ni huu:
Unawapoteza wateja kimya kimya kila siku.

💻 NAKUTENGENEZEA WEBSITE KWA 300,000 TU

Package yangu inajumuisha:
✅ Domain name (mfano: kampuni.co.tz)
✅ Hosting ya mwaka mzima
✅ Website professional design
✅ Iwe responsive (simu + computer)
✅ SEO ya mwanzo
✅ Kuweka mawasiliano yako vizuri.

Hakuna gharama zilizofichwa.
Ni 300,000 tu — kila kitu ndani.
Biashara yako inaweza kuwa nzuri sana.
Huduma yako inaweza kuwa bora sana.
 
Kwa Tz sio kwa mwaka huu labda 2040 huko. But ni muhimu sana kwa mtu aliye serious na kazi/mradi wake.
Mfano lodge nyingi sana kwa sasa ukiangalia hata google map unaziona hii kitu imenisaidia mara3 hadi sasa

Naingia hapo na order chumba na napewa hadi no ya chumba hata kbl sijafika yaani nikiwa bado safarini
 
Wewe mmiliki wa microfinance unategemea kupata wateja bila bila website?
Wahi haraka sana nikutengenezee website yako.

call/sms/whatsapp 0797 870 940
 
Faida ya website ni ipi kuacha reputation na kuonekana. Kuna faida zingine zozote.
mtu aki search google
real estate company in tanzania akiwa na shida na kampuni ya kuhitaji huduma za real estate na wewe unafanya biashara ya real estate. ataweza kukupataje bila kuwa na website?

mtu ana shida na huduma ya wakili kwa ajili ya masuala ya kisheria ametafuta kupitia google na wewe unatoa huduma za uwakili atakupataje kama hauna website?
 
Back
Top Bottom