Kama biashara yako ipo kwenye hii list halafu huna website, unawapoteza wateja kila siku!

Google location ipo
 
Ukiachana na garama za wewe kunitengenezea website je inalipiwa kama vile ilipiwavyo fb,x,tktk na ig? Au ukiniundia ww tu itatosha mm kuiendesha na kuisimamia bila malipo yoyote?
 
website yoyote ina gharama za kila mwaka 1.hosting server huipiwa kia mwaka 120,000 na 2.jina la website yako yaani .com, .co.tz, .org nayo hulipiwa kia mwaka hii gharama yake inategemea umetumia (.dot) gani kati ya hizo
 
ujinga ulioandika wala sihitaji kukujua umeshanionesha uwezo wako wa kufikiria.
yaan mtu ana kampuni yake aache kuji brand onine unasema aweke kibango mtaani...
hivi unajielewa kweli
Punguani wewe. Umesoma context ya ile comment. Bata wahed. Unakuwa mfanyabiashara na una hasira.....kenge mmoja.
 
Miss ungeendelea kutafuta kwanza ukiipata business uje tuzungumze maana bado unatafuta.
Ukitoka kumdanga jamaa mwenye milioni 500 njoo tuyajenge
Wewe huna shida ya wateja, yani mtu anaomba punguzo unamtolea shombo??

Million 500 wakati wewe upo kujaza server za Mello na minyuzi yako ya kutafuta wateja wa kukupa laki 3!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
acha kudandia mazungumzo usiyojua yameanzia wapi... mind your business
 
Punguani wewe. Umesoma context ya ile comment. Bata wahed. Unakuwa mfanyabiashara na una hasira.....kenge mmoja.
context ni kuwa ni bora kuweka kibando njiani cha kutangaza biashara kuliko kuipia domain 250,000.
sasa huoni kama umeandika ujinga na ndio uelewa wako ulipoishia
 
Kaka, huu uzi umeweka wa biashara
Kama unataka uendelee kuwa wa majibizano fresh tu tuendelee kwa sababu huna akili.
Hosting na domain unataka kusema haifiki 250k? Unatengeneza website za aina gani?
Kwa siku hizi kuna AI zinatengeneza kila kitu......una kazi wewe miaka 4 ijayo?
Bata wahed.
 
vip mbona makasiriko umesikia milioni 500 umewehuka unataka kujua ipo wapi......mind your business
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Wewe hapo ulipo huna unaishia kuiandika kwa keyboard, zaidi una makengele tu!! Ndiomana upo kutafuta laki 3 na wa kukupa hayupo shenzy..!!
 
Mimi nipo jamiiforums kibiashara za kutafuta 300,000 sasa wewe upo jamiiforums kudanga huoni utofauti

wateja sio kama wewe upo hapa kujibizana wateja wanakuja moja kwa moja pm na whatsapp. sasa wewe endelea kudanga
 
Wa kuwadangia wenyewe wako wapi humu? Wewe unayetafuta laki 3 au kuna wengine? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mbona kama hii laki 3 inakuuma sana maana imekukalia kooni. shida iko wapi uka mind your business. Maana umeshupalia laki 3 laki 3.Shida nini kwani
 
Huduma zinaendelea
call/sms/whatsapp
0797 870940
jipatie website ya kisasa kwa gharama nafuu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ