donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Kula 5 mkuuNimekula 5 mkuu.
Wachache sanaa kaka duuuuuuuuuu*Eti bible ingeandikwa jeshin basi ingekuwa inasomeka hivi;*
Basi Yesu alpotoka kusal mliman aliwakuta Kuruti wa Coy yake wanakula utawala,akawaambia "kwann Mnanivuna..hamwezi kufuata DEMO yangu tukajila japo kidogo?"Tazama nawaambien NANGA mmoja kat yenu ataharibu kazi na kunisalit. Nami nitatiwa mikononi mwa MP wa kiyahudi. Lakin ole wake Nanga kwa maana DOSO lake siku ya master parade halitakuwa na AZWEA,bali kwa atakae kuwa MNAA hadi mwisho,atakula SHUMBWELA
........................wanao elewa basiiiiiii..........
Kama hukupita jeshin kula tano maana huwez elewa apa[emoji28][emoji28][emoji28]
Asiyejua maana haambiwi maanaSijui umeandika nn
Mkuu imekukumbusha enzi zako za kunyakua nini?Haahahahahaaha
Waziwazi mkuu
Pumba.v.u sana weweOna aibu na ufiche upupu ulionao
Sio kosa lako, nimeangalia member since whenOna aibu na ufiche upupu ulionao
Sasa hapo kwenye "Tazama nawaambieni kuna Nanga mmoja kati yenu ataharibu kazi" Ingekuwa "Tazama nawaambieni kuna Nanga la brigade litatom.b.a kazi"[emoji2] [emoji2] [emoji2]*Eti bible ingeandikwa jeshin basi ingekuwa inasomeka hivi;*
Basi Yesu alpotoka kusal mliman aliwakuta Kuruti wa Coy yake wanakula utawala,akawaambia "kwann Mnanivuna..hamwezi kufuata DEMO yangu tukajila japo kidogo?"Tazama nawaambien NANGA mmoja kat yenu ataharibu kazi na kunisalit. Nami nitatiwa mikononi mwa MP wa kiyahudi. Lakin ole wake Nanga kwa maana DOSO lake siku ya master parade halitakuwa na AZWEA,bali kwa atakae kuwa MNAA hadi mwisho,atakula SHUMBWELA
........................wanao elewa basiiiiiii..........
Kama hukupita jeshin kula tano maana huwez elewa apa[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] black haido wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]*Eti bible ingeandikwa jeshin basi ingekuwa inasomeka hivi;*