donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
*Eti bible ingeandikwa jeshin basi ingekuwa inasomeka hivi;*
Basi Yesu alpotoka kusal mliman aliwakuta Kuruti wa Coy yake wanakula utawala,akawaambia "kwann Mnanivuna..hamwezi kufuata DEMO yangu tukajila japo kidogo?"Tazama nawaambien NANGA mmoja kat yenu ataharibu kazi na kunisalit. Nami nitatiwa mikononi mwa MP wa kiyahudi. Lakin ole wake Nanga kwa maana DOSO lake siku ya master parade halitakuwa na AZWEA,bali kwa atakae kuwa MNAA hadi mwisho,atakula SHUMBWELA
........................wanao elewa basiiiiiii..........
Kama hukupita jeshin kula tano maana huwez elewa apa[emoji28][emoji28][emoji28]