Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Kama Binadamu ulieumbwa kwa mfano wa Mungu ukapewa akili na utashi, haupaswi kushindwana au kugombana na mtu hata kufikia hatua ya kupigana hadi kuuwana.
Kwasababu akili na utashi huo unao kupitia hekima(intelijensi) unauwezo wa kumudu changamoto au sintofahamu yoyote kupitia maelewano ya mazungumzo...
Ukiwa conscious enough unaweza ukatuliza hasira na mihemko ya aina yoyote Ile, si unaakili na utashi, pia kama haitoshi wewe ni mfano wa Mungu... Kama Mungu angepungukiwa hekima kidogo tu riziki (mvua,watoto nk) wangepata watakatifu tu. Na muuaji angekuwa akakufa papo hapo baada ya yeye kuua.
Sasa hadi mtu anafikia hatua ya kugombana na ndugu yake tena nyumba moja, hadi kufikia hatua ya kuumizama eeh! Kutoana uhai Sasa wewe utajitofautisha vipi na mbwa, kima au nyoka... Maana yake wewe ni zaidi ya mnyama kwasababu unafanya hivyo licha ya kua una akili na utashi je! ungekuwa huna na upo kama wanyama walivyo si ndio ungekuwa tatizo juu ya tatizo.
Wito wangu kwa Binadamu wote tuuthamini uwezo tuliojaariwa akili na utashi kwa kujitofautisha sisi watu wenye utu na viumbe wengine. "Kazi na utu tunasonga mbele" Allah Akbar|Mungu Mkubwa Haleluya!?