Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu. Anyway mashindano ya AFL yalifunguliwa kwetu
 
'Brain Dead'. Kama bado unaamini uchumi kukuwa ni lazima ujue lugha hiyo uliyonyofolewa akili na kuaminishwa kuwa ndiyo lugha inayokuza uchumi.

Kwanza nikupe pole. Kuwa kwako huko bado akili imesinyaa kiasi hiki, unategemea kuiokota tena lini uweze kuishi kama binaadam wengine?
'Moshi25'? Bila shaka jibu linatokea hapo kwenye jina!
 
China wanatumia Chinese, uwezo wa kuandika vitabu in Chinese wanao, technology iko juu na China hawahitaji kukopa vimikopo kama bongo.
Naona muda siyo mwingi utaanza kuhimiza watoto wa Tanzania wafundishwe Kichina ili nasi tupate maendeleo!
Hizi 'mentality' za kutotambua maendeleo yanaletwa na nini sijui zinatoka wapi.
Lugha, Kichina, kiingereza kikorea, kivietnamese, na nyinginezo, ni lugha tu; kama lugha ya kiswahili tuliyo nayo sisi.
Mtu yeyote anaweza akajifunza lugha akaijua vizuri lakini asiwe na maendeleo. Ni ujuzi alio nao ndio unaoweza kubadili hali yake
Knowledge and skills can be imparted in any language.
 
Kwani kipindi mnawaambia mashaabiki wa timu ya Mamelodi walioko Tanganyika waje na visa uwanjani mlitarajia nini?
 
Mashindano CAF Kati Ya Kenya na Tanzania NCHI gani inapeleka TIMU nyingi?
Sidhani kama CAF wametumia kigezo cha club nyingi kwenye vigezo vyao. Maana hata hizo team za Tanzania wachezaji wa nje ya Tanzania ni wengi kuliko wakitanzania.
 
Waache tu yatadoda, huko tu timu zao hawazipendi. Msisimko wa soka uko TZ.
 
Duh! Hawa caf wanaleta ujinga hapo kenya viwanja vyao hawajazi kama sie inakuwaje wanapata openning nd closing ceremony?
Muna sehemu sie tunambwela sio uongo.
Hii ni karma kwa viongozi wa CCM na watoto wao. Idea ya mtu mmoja wa mkoa wa Mara yupo humu humu JF, wao wameiiba kama vile ni ya kwao..
 
The same question lipo valid kwa wengine kama tungepewa sisi hiyo nafasi
 
Kuandaa AFCON 2027 ni idea ya member mmoja wa JF humu ila vigogo wa CCM na watoto wao wakainyakua kama vile ni idea yao ili waonekane kuwa wapo mbele ya muda.

Mungu anaanza kuwadhalilisha sasa. Mungu huwa hafanyiwi dhihaka hata kidogo..
 
Waliokwapua idea ya watu humu JF Mungu anaanza kuwanyoosha sasa. Karma is real. Hallelujah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…