Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

Hqpq kuna tatizo maana ukiangalia tanzania tuna facilities bora kuliko kenya
 
Mkuu, wewe ni mzalendo sana hakika. Umeongea kwa uchungu mno..
 
Mimi pia nilikuwaga chawa wa CCM kama wewe. Ila leo nipo ninapiga debe hapa stendi ya daladala.

Wanasiasa wakimaliza kukutumia watakutupa kama toilet paper..

Wewe endelea tu na uchawa..
Wewe ulikuwa mpumbavu ndio maana ulikuwa chawa na unatumiwa.

Mimi siko huko na Wala situmiki na mtu.

Nasema hivi, Waislamu wakituongiza tunapata newma sio kama wale watu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ