Dube apewe goli kwenye mechi gani?JANA NIMECHEKA CHEKO LA.MWAKA HAKUNA KITUKO.CHQ MWAKA KAMA CHA CAF NA MOROCO WAKE
SISI SIMBA TUNAOMBA TUPEWE GOLI LETU
YANGA NAO WANATAKA GOLI LAO HAHAHA
cc
tFF
RUSHWA ADUI WA HAKI MPAKA.MICHEZON AISEE
Umei-update hio Samsung hivi karibuni si ndio?Pesa subunit ya roho mkuu
Mutsepe na Frantino Senegal alipochukua Ndoo walikua wamechana mikeka yao kwa hio walichukia sana, kwa hio ili wapige hela Morocco lazima ashinde hata kwa ushindi wa Mezani wa kuforce sio CAF tu hii ni mpaka FIFA ndio maana Frantino baada ya mechi akaanza kuwawakia Senegal na kusema lazima washushiwe rungu haiwezekani wachukue ushindi wakati wao walipanga Morocco ndio washinde na wachukue ushindi, ni pesa na uhuni uhuni tuWale viongozi waarabu ndio wanateua na rais wanaemtaka asiwasumbie
Fadhilazake n kama hizi mkuu