Kama CAF wametoa kituko cha mwaka basi TFF wapeni Simba goli lao na Dube goli lake mtupe matokeo

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Jana nimecheka cheko la mwaka, hakuna kituko. Cheko la mwaka kama cha CAF na Morocco wake.

Sisi Simba tunaomba tupewe goli letu.

Yanga nao wanataka goli lao, hahaha.

cc
TFF


Rushwa adui wa Haki mpaka michezo aiseee

​
 
JANA NIMECHEKA CHEKO LA.MWAKA HAKUNA KITUKO.CHQ MWAKA KAMA CHA CAF NA MOROCO WAKE

SISI SIMBA TUNAOMBA TUPEWE GOLI LETU

YANGA NAO WANATAKA GOLI LAO HAHAHA

cc

tFF

RUSHWA ADUI WA HAKI MPAKA.MICHEZON AISEE
Dube apewe goli kwenye mechi gani?
 
Hali tetee huko yanga tunateseka tu dah
 
Wale viongozi waarabu ndio wanateua na rais wanaemtaka asiwasumbie

Fadhilazake n kama hizi mkuu
Mutsepe na Frantino Senegal alipochukua Ndoo walikua wamechana mikeka yao kwa hio walichukia sana, kwa hio ili wapige hela Morocco lazima ashinde hata kwa ushindi wa Mezani wa kuforce sio CAF tu hii ni mpaka FIFA ndio maana Frantino baada ya mechi akaanza kuwawakia Senegal na kusema lazima washushiwe rungu haiwezekani wachukue ushindi wakati wao walipanga Morocco ndio washinde na wachukue ushindi, ni pesa na uhuni uhuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…