Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

Hizo data zote ni za kupika bwashee !
 
Ngoja wale Wana Sacco's wa mtaa wa ufipa waje kutoa mapovu
Uzur kuhusu maridhiano aliyesema ni kiongozi wa lumumba,,

Vipi Napo hapo Kuna haja ya kuwasema wa ufipani au wanakuhumiza kichwa usipowataja
 

Maridhiano muhimu yaanzie ndani ya vyama vya siasa vya upinzani
Kuna sehemu nyingi sana wanatakiwa kujitathmini ili kuwa na nguvu ya kukitoa chama tawala kilipo

Wanavyoendelea kushupaza shingo kwa kuukataa ukweli ndivyo shingo zao zitavunjika na wasipate dawa

Niwatakie dominika njema wapendwa
 

Kaka kaka mimi huwa thread zako nacheka sanaaa hadi Machozi Daaa
Ila Umesahau nilishakuambia Ukianzisha thread kama Hizi jaribu kuwa tag basi wale Ma Bwashee Mkuu...
Kuwatag haina tatizo si Kuwashtua tuu waone uzi kaka....kina John hawanaga hofu wala kumuogopa mtu kaka,Wnajiamini 100% wewe unataka Kuniangusha....Ntakuita Bwashee sasa[emoji3516][emoji851][emoji12]Unawakumbusha Kuhusu Takwimu kaka
johnthebaptist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…