Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
Hizo data zote ni za kupika bwashee !
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.

Maridhiano muhimu yaanzie ndani ya vyama vya siasa vya upinzani
Kuna sehemu nyingi sana wanatakiwa kujitathmini ili kuwa na nguvu ya kukitoa chama tawala kilipo

Wanavyoendelea kushupaza shingo kwa kuukataa ukweli ndivyo shingo zao zitavunjika na wasipate dawa

Niwatakie dominika njema wapendwa
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.

Kaka kaka mimi huwa thread zako nacheka sanaaa hadi Machozi Daaa
Ila Umesahau nilishakuambia Ukianzisha thread kama Hizi jaribu kuwa tag basi wale Ma Bwashee Mkuu...
Kuwatag haina tatizo si Kuwashtua tuu waone uzi kaka....kina John hawanaga hofu wala kumuogopa mtu kaka,Wnajiamini 100% wewe unataka Kuniangusha....Ntakuita Bwashee sasa[emoji3516][emoji851][emoji12]Unawakumbusha Kuhusu Takwimu kaka
johnthebaptist
 
Back
Top Bottom