Naomba kuuliza, hivi kuna tuzo za kuanzisha uzi zinazotolewa na Uongozi wa JF?
Hao hawafai kabisa na itikadi zao zenye elementi za Kayafa!! Hata huu ubunge wa special seats hawastahili kabisa!!!
Hao hawafai kabisa na itikadi zao zenye elementi za Kayafa!! Hata huu ubunge wa special seats hawastahili kabisa!!!
We mwanamume au mwanamke. Kigezo chako cha mtu kutofaa Ni kipi. Je ni Bosi Wake wewe au. Una wivu wa kipumbavu sana. Wewe unayefaa Tuambie umelifanyia nini Taifa au hata chumba chako cha kupanga. Kwa uropokaji huu ni dalili ya mtu maisha yamempiga kwa uzembe na ujinga Wake. Grow up und Acha kujudge wanaume usiowajua.
Kwani wao wenyewe ccm wanasemaje?
😹😹 Mataga mtapata tabu sana awamu hii!! Inafika wakati mnafikiri kuwa mnaota ndoto ila ndio hali halisi, unafoka kutetea watu wasio na sifa poor idiot!!We mwanamume au mwanamke. Kigezo chako cha mtu kutofaa Ni kipi. Je ni Bosi Wake wewe au. Una wivu wa kipumbavu sana. Wewe unayefaa Tuambie umelifanyia nini Taifa au hata chumba chako cha kupanga. Kwa uropokaji huu ni dalili ya mtu maisha yamempiga kwa uzembe na ujinga Wake. Grow up und Acha kujudge wanaume usiowajua.
Ulitaka apewe naniHao hawafai kabisa na itikadi zao zenye elementi za Kayafa!! Hata huu ubunge wa special seats hawastahili kabisa!!!
😹😹 Mataga mtapata tabu sana awamu hii!! Inafika wakati mnafikiri kuwa mnaota ndoto ila ndio hali halisi, unafoka kutetea watu wasio na sifa poor idiot!!
Ulitaka apewe nani
Ulishawahi kuwa hata katibu kata? Mkuu sikudharau lakini kuongoza huwa ni issue sana."Wangepewa watu wenye kujua na kuthamimi maana na umuhimu wa haki ingependeza zaidi" - Dr. Shika.
Mola amjalie maisha marefu mama Samia ambaye hata kodi ya dhuluma tu, haitaki kwa vitendo.
Tukadanganywa kuwa uchumi umepanda hadi 7-8% dah ila these stupid politicians wako na masialaMabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia yake. Ilisemekana kuwa katika kipindi hicho, chama hiki kilishamiri vilivyo.
Ya kuwa katika kipindi hicho CCM:
1. Ilipata ushindi wa kishindo (takribani wa 100%) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita.
2. Ilipata ushindi wa kishindo (takribani wa 100%) kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
3. Leo hii bunge la JMT, takribani 100% ya wabunge wote ni wa CCM.
4. Imevuna wabunge na madiwani wengi zaidi waliopita bila ya kupingwa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.
5. Nk, nk.
Hivi, iweje basi pamoja na mafanikio makubwa haya (kama ni kweli), watendaji wake wakuu wakiwamo mh. Dr. Bashiru Kakurwa na bwana Humphrey Pole pole watoswe kwenye nafasi zao kivile?
View attachment 1769956
Ina maana CCM wameshiba sasa kushinda?
Hii shindaji ya vishindo inayoambatana na sambaratishaji ya watendaji washindaji mubashara imekaa je?
Au ni kweli kuwa kila yang'aayo siyo dhahabu?
Ninawasilisha
Tukadanganywa kuwa uchumi umepanda hadi 7-8% dah ila these stupid politicians wako na masiala
Dah wacha nigonge K-Vant Monday nawaibukia HELSB nao waache ujinga waoMajamaa yalikuwa maongo, majizi na majambazi ya kutupwa. Hayakuwa na mawazo mwendazake angeweza kuondoka bila kuaga.
Yametuharibia nchi. Si serikali za mitaa hadi bunge.
Si mbaya wakijua ipo siku watawajibika kwa matendo yao.
Ulishawahi kuwa hata katibu kata? Mkuu sikudharau lakini kuongoza huwa ni issue sana.