DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kama CCM ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegemee ikatoka madarakani tena
hata hivyo,Kama Ccm ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegemee ikatoka madarakani tena
Tunataka ccm itoke madarakani na iondoke jumla. Ile ya lowasa 2015 ingekuwa kubadili jina la watawala lakini watawala wakibaki walewale.
Makosa yale ya kijinga yesijerudiwa tena.