BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Viti KAMWE haviwezi kupungua kama uchaguzi ni huru na haki. Dikteta uchwara analijua hilo fika ndiyo sababu amekuwa mbabaishaji kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Anajua njia pekee ya kushinda ni kupora ushindi kwa marungu, visu, mapanga na mitutu ya bunduki pia kutumia kitengo cha Ikulu cha wizi wa kura.
Anajua njia pekee ya kushinda ni kupora ushindi kwa marungu, visu, mapanga na mitutu ya bunduki pia kutumia kitengo cha Ikulu cha wizi wa kura.
Viti vya wabunge na madiwani 2020 vitapungua kwa upinzania kama wasipowekeza zaidi kwa propaganda,intelejensia na ICT kuhusu Political issues