Kama CCM itapata ushindi wa 98% itabeba ruzuku yote, sijajua Chadema wataishije!

Kama CCM itapata ushindi wa 98% itabeba ruzuku yote, sijajua Chadema wataishije!

Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE

Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya

Nimeogopa sana 🐼
Hizo 2% labda ACT ndio wanaweza kuzipata. Lissu hawezi hata kukampeni uchaguzi wa kijiji ndio ataweza Taifa? Uchaguzi wa kitaifa utawanunulia wangapi viroba ili wakeshe kwenye mitandao watukane?
 
Hizo 2% labda ACT ndio wanaweza kuzipata. Lissu hawezi hata kukampeni uchaguzi wa kijiji ndio ataweza Taifa? Uchaguzi wa kitaifa utawanunulia wangapi viroba ili wakeshe kwenye mitandao watukane?
Nkasi kaskazini 2020 Lisu ndio aliwapatia Chadema yule Mbunge wa dawa 🐼
 
SISIEMU washaonja "NYAMA YA MTU" Kufanya Uchafuzi kwahiyo watendelea "KULA NYAMA TU" Ushindi wa Kishindo ,wapinzani watapewa kama walivyofanya Covid 19.
 
Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE

Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya

Nimeogopa sana 🐼
Chadema siyo watumwa wa ruzuku, mtaji wa Chadema ni wanachama wake.Tunza hii kwenye hilo bichwa lako lililojaa ugimbi. Na pia useme kama Tume ya Uchaguzi ikiamua kuitangaza CCM kuwa washindi wa asilimia hizo kwani kwa hali halisi CCM haiwezi kushinda kwa asilimia hizo,
 
Back
Top Bottom