Kama CCM itapata ushindi wa 98% itabeba ruzuku yote, sijajua Chadema wataishije!

Kama CCM itapata ushindi wa 98% itabeba ruzuku yote, sijajua Chadema wataishije!

Wakimsimamisha Dr Slaa na wakacheza vizuri kwenye kampeni hakuna haja ya kujadili kuhusu asilimia 5, itakuwa ni mpambano wa moto sana
 
Na chadema Awana mtu wa kumsimamisha kwenye nafasi ya Rais
Jidanganye tu..Hata John Mrema akisimama na saa100 lazima atatoa upinzani tu sembuse TAL au FAM??

Kukiwa na fair ground si tunaweza kujikuta utabiri wa Sheikh Yahya unatimia?
 
Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE

Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya

Nimeogopa sana 🐼
Mkuu wewe si ni me mbona waogopa tena kaka???
 
Kwani wakati wa Jiwe kwa miaka miwili waliishije?
Mbowe akiendesha chama kupitia biashara zake. Hivi sasa lissu kutoa sh 100 katika chama anaona hasara. Chama kinamfia mikononi mwake
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE

Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya

Nimeogopa sana 🐼
TLS inamsaidia fedha za kuendesha chama
 
Haiwezi Kupata Kamwe Huo Ushindi, Amka Ulipolala
Kijani Itapata Matokeo Ambayo Wengi Watabaki Midomo Wazi
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE

Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya

Nimeogopa sana 🐼
Kwanza kukutoa wasiwasi chadema mwaka huu tunabeba mpaka urais. Tumejipanga haswaa
 
Back
Top Bottom