johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema kama jeshi la polisi wataishindisha ,ccm haina ushindi wa halaliMalipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE
Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya
Nimeogopa sana ๐ผ
We subiri tu.Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE
Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya
Nimeogopa sana ๐ผ
Luaga MpinaNa chadema Awana mtu wa kumsimamisha kwenye nafasi ya Rais
98%Badala uwazie kwako unawaza kwa jirani wataishije
Walitumia fedha za MwenyekitiKwani wakati wa Jiwe kwa miaka miwili waliishije?
Hizo 2% labda ACT ndio wanaweza kuzipata. Lissu hawezi hata kukampeni uchaguzi wa kijiji ndio ataweza Taifa? Uchaguzi wa kitaifa utawanunulia wangapi viroba ili wakeshe kwenye mitandao watukane?Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE
Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya
Nimeogopa sana ๐ผ
Nkasi kaskazini 2020 Lisu ndio aliwapatia Chadema yule Mbunge wa dawa ๐ผHizo 2% labda ACT ndio wanaweza kuzipata. Lissu hawezi hata kukampeni uchaguzi wa kijiji ndio ataweza Taifa? Uchaguzi wa kitaifa utawanunulia wangapi viroba ili wakeshe kwenye mitandao watukane?
No reform No Election Bwasheee!!Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE
Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya
Nimeogopa sana ๐ผ
Mimi na wewe tunajua kilitokea nini mpaka yule mbunge akashinda.Nkasi kaskazini 2020 Lisu ndio aliwapatia Chadema yule Mbunge wa dawa ๐ผ
Chadema siyo watumwa wa ruzuku, mtaji wa Chadema ni wanachama wake.Tunza hii kwenye hilo bichwa lako lililojaa ugimbi. Na pia useme kama Tume ya Uchaguzi ikiamua kuitangaza CCM kuwa washindi wa asilimia hizo kwani kwa hali halisi CCM haiwezi kushinda kwa asilimia hizo,Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE
Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya
Nimeogopa sana ๐ผ
Mbowe alitoa pesa yake mfukoniKwani wakati wa Jiwe kwa miaka miwili waliishije?
Huyo ni mlevi wa visungura na pombe hiyo inaleta changamoto ya kufuta kumbukumbu ndiyo maana jina lingine inaitwa kifutio.Kwani wakati wa Jiwe kwa miaka miwili waliishije?