The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Aug 28, 2025 #1 Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Aug 28, 2025 #2 Inasikitisha sana
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,889 Reaction score 18,593 Aug 28, 2025 #3 Kila kitu kina taratibu zake,act wakosee wenyewe,washitakiane wenyewe,uwalaumu CCM!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 28, 2025 #4 Mipango... Cc: Mahondaw
mankizzo JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 658 Reaction score 523 Aug 28, 2025 #5 The Father of All said: Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi. Click to expand... Huo ni mtego choo cha ndotoni hapo wataenda wata mwacha Kisha mahakamazetu zitaonekana Zako fea
The Father of All said: Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi. Click to expand... Huo ni mtego choo cha ndotoni hapo wataenda wata mwacha Kisha mahakamazetu zitaonekana Zako fea
K Kimalingano JF-Expert Member Joined Mar 27, 2023 Posts 1,366 Reaction score 1,770 Aug 28, 2025 #6 Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje. Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi. Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje. Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi. Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.