Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?


Hata hivyo mkuu zingatia hii:

"Watuswamehe tuliowashuku wasiokuwemo. Mwenyekiti wa Shina la CCM Kilimatinde ana nini cha kufanya na kesi au hukumu za kubumbwa kwa Mbowe?"

Kiongozi huyo wa Shina Kilimatinde ana nini cha kufanya na Lijenje, Ben, Azory au kushambuliwa Lissu?

Ana nini cha kufanya na wa kwenye viroba?

Ana nini cha kufanya na mazuio ya mikusanyiko au kusitishwa kwa mchakato wa katiba mpya?



Hata Samia ni mouth piece tu.

Pole pole ana hoja. Tumeshikiliwa mateka.
 
Reactions: BAK
Kataa 2 ILA UKISHAKUA CCM AKILI INAHAMA ..Mimi nilikua uko na nina uzoefu...nifuate nikuambie namna ya kujitoa .CCM ndio adui wa watanzania .Acheni kua na imani potofu wakuu sitegemei hilo

1st Katiba mpya...kwani kuna tatizo!?? Why Not

😁😁

 
CCM ni shetani mwenye mguu mmoja asiye na huruma hata chembe
 
CCM. Ile ya jaji walioba iliyobeba maoni ya Wana chi, maccm waliichakachua ndio vulugumechi ilipoanza
Mnanikumbusha Kosovo,kwanza Kosovo mbali hapo jurani Congo DRC ukizingua mnazinguana,'CCM tumewavumilia vya kutosha' mmetuchosha zaidi kwa wabeba mabegi yaliyojaa kwenye vituo vya kupigia kura 2020 duu! wala sina hamu tena ya kupiga kura bila katiba mpya kwenye uchaguzi wa 2020 mmeboronga mno,Hata vipofu tumeona
 
Paka Wew πŸ˜€ izo point zako zimekusaidia nini ?maccm bhana ww ni halali kukuita ccm

Mijizi mipaka nyau inapokurupushwa kwa ukulele wa mwizi si nadra nayo kuupiga mwingi vile vile kama itasaidia kuwapoteza pursuer maboya 😁😁.
 
Ccm ni ujinga Nchi yetu nzuri Serikali mbaya

Si nadra mtu nyuma ya usukani kuitumia CCM, Samia hata JK kama koti kama itamsaidia kutoroka kuwajibishwa:



Pichani siyo CCM hao:





Anayebumba kesi na hukumu; anayewashikilia Lijenje, Ben na Azory; Sentry mitandaoni na vi ID uchwara siyo CCM bali ni huyu huyu mchawi wetu.

Huyu ni ama zetu ama zake.
 
Kubali kataa Ccm ndio adui kijana
Na taifa ...ngata na kupuliza ...jaribu kufikiria pembeni kidogo utaelewa Mimi ni mpinzani forever hunitoi kwa kofia na jezi / maendeleo Ni haki yangu no propaganda ...siitaki Ccm kamwe
 
Kubali kataa Ccm ndio adui kijana
Na taifa ...ngata na kupuliza ...jaribu kufikiria pembeni kidogo utaelewa Mimi ni mpinzani forever hunitoi kwa kofia na jezi / maendeleo Ni haki yangu no propaganda ...siitaki Ccm kamwe

Wasiojulikana vipi unawataka?
 
Kwasasa tunamaadui 4

ujinga
Maradhi
Ccm

Na .........
Iyo namba 3 umepatia πŸ’― Umaskini hauepukiki kukiwa na ccm...Tena saiv wanatumia tv kujipongeza hewa 80 cent ya tv na radio ni UNAFIKI Na pongezi na uongo ..bora tuangalie aljazeera hamna uhuru wa vyombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…