Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kamanda vipi wewe?Nani anajipendekeza kwa sisi?
Tutawanyoa kwa wembe ule ule
You are caping hard for her 🤣🤣.Kwani alieiba kura ni Samia au Mwendazake? Katiba ya JMT inasema katika kutekeleza wajibu wake rais wa JMT halazimishwi kufuata ushauri wa mtu yeyote yue, sasa kumu attach Samia na uharamia wa yule jamaa ni kumuonea tu...
Tutamnyoa kwa wembe ule ule tulie mnyolea aliepitaNani anajipendekeza kwake ?
Tutamnyoa kwa wembe ule ule..
Hakuna anayejipendekeza bali kuna tofauti kubwa ya uongozi baina ya Magufuli na Samia! Magufuli alikuwa hardliner katili na alikuwa tayari kuua wakati Samia amechukuwa msimamo wa kati na ameonyesha yuko tayari kwa mazungumzo. Hivyo kwa msimamo huu watu wanataka mazungumzo yafanyike sasa na siyo baadaye.Sijui ni kutokujielewa…sijui ni ujinga…sijui ni kutokujua unataka nini…sijui ni kutokujua kuwa hujui…sijui ni nini hasa!
Manake sielewi. Kama CCM waliiba uchaguzi wa 2020. Uchaguzi uliowapa ushindi John Pombe Magufuli na Samia Suluhu Hassan ushindi mkubwa sana, iweje leo Rais Samia apendwe sana na watu waliokuwa mstari wa mbele kudai kuwa chama chake kimeiba uchaguzi
Kama nguvu ya CHADEMA ni viongozi wao ccm isingetumia mabomu kupata kuraNguvu ya Chama cha Siasa, na chama chochote, ni wanachama siyo viongozi. Nitatoa mifano kuthibitisha hoja yangu.
Uchaguzi wa 2015, CHADEMA ilitegemea nguvu ya Lowassa na kundi la wanasiasa aliohama nao kutoka CCM. Walifanikiwa kupata idadi kubwa ya madiwani na wabunge hadi kuongoza baadhi ya Halmashauri. Kwa kuwa walitegemea nguvu ya viongozi hawakuweza kuaminiwa kuunda Serikali.
Uchaguzi wa 2020, CHADEMA pia ilitegemea nguvu ya Lissu, wakiamini kushambuliwa kwake ungekuwa mtaji wao wa kisiasa. Badala yake chama kiliambulia Mbunge mmoja tu.
Mifano hiyo miwili inadhihirisha kuwa bado viongozi wa CHADEMA hawajaona umuhimu wa kutumia nguvu ya wanachama. Wanachofanya ni kuwatumia wanachama kufanikisha malengo yao binafsi ya kisiasa. Kumpamba Rais, mama Samia, lengo lao kuu wanalijuwa viongozi na si wanachama. Hata dai lao la Katiba, lengo ni la viongozi kuingia mdarakani.
Umefika wakati kwa viongozi wa CHADEMA kuishi kwenye kaulimbiu yao ya "PEOPLES POWER" na si vinginevyo.
Eda ni ada yenye faida, wahenga walinena.
Mkuu hiyo kauli ya kuibiwa kura njia tu ya kujifariji baada ya kushindwa kila uchaguzi lazima waseme hivyo ndio kawaida hiyo.
Hivi mkuu uliwahi kuona wapi mtu unaibiwa kura mil 12 kweli!!?
Yaani we una kula mil 1 mwenzako 12 mil alafu eti umeibiwa, umeibiwaje mikura yote hiyo?
Hakuna kitu hapo ni kudemka tu na biti la kuibiwa ili kujipa imani.
Sasahivi wako bize na kutaka kumnyoa mama huku mwenzao akiwa busy kuimarisha chama chake, anapandisha mishahara vijana wa chuo kawapandishia boom wazee vijijini humo ambao hasa ndio wapiga kura wanafurahia umeme wa REA alafu uchaguzi ukifika uwaambie eti mama hafai nani atakuelewa unadhani na safari hii wasipo kuwa makini hata hiyo mil 1 sidhani Kama watapata na akigombea tena yule mropokaji ndo kabisa.

Sawa we cheka tu huku ukisema utoto uchaguzi ukifika utakuja tena hapa kulia mnaibiwa kura na kura viapo vya kuingia barabaraniNimecheka kwa nguvu huu utoto ulioandika hapa.
sasa si uhamie huko unasubiri nn, wanaume wapo wengi tu hawajaoa kule!.Wapinzani wa Tanzania ni hovyo kabisa, bora upinzani wa nchi kama Malawi au Zimbabwe.
Umejuaje hilo kama ww sio muhanga wa hao wanaume. Aisifiae mvua imemnyea.. bila shaka vibunzi yao tayar vishapita kwenye to.bo laosasa si uhamie huko unasubiri nn, wanaume wapo wengi tu hawajaoa kule!.