Kama CCM Wameweza kwenye Chama Yanashindwaje kurekebisha Katiba ya Nchi?

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,900
Reaction score
18,751
Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.

Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.
 
Katiba sio kwamba haiwezekani bali hawataki Kwa sababu wao ndio wameshikilia kwenye makali.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Kama mtu ana bando download movies za VIVA MAX aiseee mkuu utanishukuru sizani kama utawaza mambo ya chama aiseee
 
Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.

Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.
Ndani ya siku moja tu Reform tayari.
 
Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.

Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.
Kama REFORMS zinazohitajika ndo nitafanywa kwa namna ccm ilivyofanya leo ni bora zisiwepo!
What happened today was horrendous
 
Back
Top Bottom