The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Katiba sio kwamba haiwezekani bali hawataki Kwa sababu wao ndio wameshikilia kwenye makali.Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.
Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.
Yakuz yavuzKama mtu ana bando download movies za VIVA MAX aiseee mkuu utanishukuru sizani kama utawaza mambo ya chama aiseee
Ndani ya siku moja tu Reform tayari.Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.
Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.
Ahahahaha aiseeee achana na YAKUZ YAVUZ ...Yakuz yavuz
Kama REFORMS zinazohitajika ndo nitafanywa kwa namna ccm ilivyofanya leo ni bora zisiwepo!Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.
Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.