Kama CCM wataendelea kubaki madarakani, Nini hatma ya mamia ya watu waliotekwa?

Kama CCM wataendelea kubaki madarakani, Nini hatma ya mamia ya watu waliotekwa?

braza bonge

Senior Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
140
Reaction score
226
Habari Wana bodi, kama tittle inavyojieleza, kuelekea uchaguzi mkuu tumeona mamia ya watu wakitekwa na kwa isivyo bahati, serikali ya CCM haijatoa ushirikiano katika hili jambo, aidha mgombea wao amechagua kukaa kimya.

Je, watu ambao wanatamka kulinda utu wa Mtanzania kwa maneno tu bila vitendo wakiendelea kubaki madarakani, wenzetu waliotekwa hatimabyao itakuwaje?,

Je, wataachiwa? au watauawa kutunza utulivu

Je, watekaji watapatikana na kuchukuliwa hatua?

Nini itakuwa mustakabali kwa watu wenye maoni tofauti dhidi ya watawala?

Naomba kuwasilisha.
 
Mtu akipotea au wa kitu kikipotea upatikanaji wake usipofanikiwa ndani ya masaa 48 inakuwa vigumu sana kupatikana kadri muda unavyoendelea, watu waliopotea uwezekano wa kupatikana tena ni hafifu sana katika mazingira yoyote CCM iwepo au isiwepo madarakani, muhimu sasa ni kuzuia wengine wasiendelee kupotea.
 
Mtu akipotea au wa kitu kikipotea upatikanaji wake usipofanikiwa ndani ya masaa 48 inakuwa vigumu sana kupatikana kadri muda unavyoendelea, watu waliopotea uwezekano wa kupatikana tena na hafifu sana katika mazingira yoyote CCM iwepo au isiwepo madarakani, muhimu sasa ni kuzuia wengine wasiendelee kupotea.
Tutazuiaje mkuu? wote tusifu na kuabudu?
 
Back
Top Bottom