Kama CHADEMA haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi , kwa nini Amos Makalla uhangaike nayo?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
 
Bila CDM kushiri serikal itakua haramu
 
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Atuambie kwanza mpox na ebola vinauzwa duka gani na je vitus vimeshaingixwa nchini au bado?
Hali ya yule dada aliyedaiwa kupigwa na kulazwa hospitalini kule makambako inaendeleaje?
Alishapelekwa shule ya uongozi pale KIBAHA HUYU?
 
Act na zito wake wako field ccm na makala wake wako field chadema na lisu wake wako lockup Sasa chakushangaza tulitegemea makala angepambana na mpinzani wake act ambae wanazunguka wote kwa wananchi badala yake amekua akipambana na chama ambacho Kiko lockup inashangaza sana
 
Makala aelekeze nguvu kubwa kupambana na CHAUMMA kwa sababu hao wamesema wazi wanataka kuing'oa ccm Oct 2025. Asiwachukulie poa CHAUMMA

Aachane na chadema maana wao hawashiriki uchaguzi.
 
Hana Sera! Wala hana cha maana cha kuwaeleza wananchi! Kwa hiyo anachofanya ni kampeni za maji taka dhidi ya vyama vingine
 
Ukiona mtu ana mwili mkubwa kama wa Makalla na Samia ujue akili zao ni ndogo kuliko hata mboni za macho yao.
 
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
So
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Siyo Yeye tu all state apparatus zimechachamaa.
 
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Ile NRNE imekuwa mwiba mkubwa sana. Haijawahi kutokea ktk upinzani wa miaka 30 iliyopita
 
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Ngoja waje heel kissers.... Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao chiembe, johnthebaptist
 
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.

Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.

Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Nimegundua Amos Makala ni mwanachama wa chadema, maana anaitaja chadema mara nyingi kuliko CCM
 
Back
Top Bottom