Bila CDM kushiri serikal itakua haramuNashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.
Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.
Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Atuambie kwanza mpox na ebola vinauzwa duka gani na je vitus vimeshaingixwa nchini au bado?Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.
Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.
Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.
Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.
Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Siyo Yeye tu all state apparatus zimechachamaa.Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.
Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.
Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Ile NRNE imekuwa mwiba mkubwa sana. Haijawahi kutokea ktk upinzani wa miaka 30 iliyopitaNashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.
Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.
Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Ndio yule mzee wa Ebola?Hana Sera! Wala hana cha maana cha kuwaeleza wananchi! Kwa hiyo anachofanya ni kampeni za maji taka dhidi ya vyama vingine
Ndiyo huyu alienda kumjulia hali yule dada aliyedaiwa kupigwa na walinzi wa caademaNdio yule mzee wa Ebola?
Akaacha wa kwake amelazwa icu mbeya.Ndiyo huyu alienda kumjulia hali yule dada aliyedaiwa kupigwa na walinzi wa caadema
Ngoja waje heel kissers.... Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao chiembe, johnthebaptistNashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.
Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia.
Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie kama ilivyo kwa CHAUMMA
Nimegundua Amos Makala ni mwanachama wa chadema, maana anaitaja chadema mara nyingi kuliko CCMNashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha.