johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yaniii wewe sikuhizi hueleweki kabisaa. Bora hata enzi za mwendazake tulijua wewe ni Mataga. Anwaya hujaeleweka maana kwa sisi ambao sio mashabiki wa vyama tunawaelewa CHADEMA ni nini wanataka.Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
uchaguzi haukuwa huru na haki,sasa hivyo viti ndo viwe sahihi?Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?uchaguzi haukuwa huru na haki,sasa hivyo viti ndo viwe sahihi?
Swali zuri Sana hili.Mbona hawaendi mahakamani?
Hapa tunapaswa kuiponya Chadema maana wanapotea!Yaniii wewe sikuhizi hueleweki kabisaa. Bora hata enzi za mwendazake tulijua wewe ni Mataga. Anwaya hujaeleweka maana kwa sisi ambao sio mashabiki wa vyama tunawaelewa CHADEMA ni nini wanataka.
Hoja yao kubwa ninani aliyepeleka majina ya hao viti maalumu cause Viongozi wote wajuu hawatambui.
Tume imekaa kimya badala yake anaibuka sajiri wa vyama na hoja zaifu nasema zaifu kwakuwa ni ofisi take hiyohiyo iliyofumbia macho uharamia wa Lipumba.
Lakini twende mbele turudi nyuma kwa yaliyo fanyika kwenye uchaguzi wa 2020 kuna kiumbe anaweza akasimama na kusubutu kusema kulikuwa na uchaguzi kweli?
Tuwe wazalendo wa kweli na nnchi yetu tuache ushabiki wa kimazingira kwamba unashabikia tukio au mambo yaliyopo kwa watawala kipindi wapo hata kama nimabayaa.
mkuu hivi kiwango chako cha kudanganyika ni kikubwa hivyo ,hebu mpe simu mtoto wako wa kike wa mwisho nimwelezee naamini mjomba atanielewa haraka ,hakukuwa na uchaguzi yule walimuachia hata wezi wa wallet huwa hawachukui vitambulisho.Na hata malaya wanaotusachi tukilewa wanatuachiaga nauli kwenye laki mbili anakuachia elfu kumi ,akimaanisha kanywe supu na maji makubwa na nauli ya uber kukurudisha kwenu ,sasa swali lako ni kusema kama ni mwizi mbona ameacha elfu kumi ,au mwizi gani anakuachia kitambulisho?Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?
Kwahiyo mlitaka wawaachieni wabunge wote?mkuu hivi kiwango chako cha kudanganyika ni kikubwa hivyo ,hebu mpe simu mtoto wako wa kike wa mwisho nimwelezee naamini mjomba atanielewa haraka ,hakukuwa na uchaguzi yule walimuachia hata wezi wa wallet huwa hawachukui vitambulisho.
umeona ulivyo haribiwa akili na CCM ,HATUACHIANI WABUNGE SIO HISANI TUNAPIGA KURA ANAESHINDA TUNAMTANGAZA NDIVYO KATIBA YETU INAVYOSEMAKwahiyo mlitaka wawaachieni wabunge wote?
Sasa kama hamuachiani kwanini unasema mbunge wa Nkasi aliachiwa?umeona ulivyo haribiwa akili na CCM ,HATUACHIANI WABUNGE SIO HISANI TUNAPIGA KURA ANAESHINDA TUNAMTANGAZA NDIVYO KATIBA YETU INAVYOSEMA
Hivi si nyie kila siku huwa mnabwabwaja kuwa CHADEMA wanachukua ruzuku, mbona leo unajipinga tena?Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Nimezingatia latest kauli ya mwenyekiti wa Chadema!Hivi si nyie kila siku huwa mnabwabwaja kuwa CHADEMA wanachukua ruzuku, mbona leo unajipinga tena?
Na Mdude Nyalali na wengine kibao bado wanasota. Acheni hizo.Swali zuri Sana hili.
Ukizingatia mama kishasema ktk awamu yake anataka mahakama zitende haki.
kwahiyo unakiri kuwa mlikuwa mnaeneza habari za uongo ambazo hamkuwa na uhakika nazo?Nimezingatia latest kauli ya mwenyekiti wa Chadema!
Wewe unaijua account ya Chadema?kwahiyo unakiri kuwa mlikuwa mnaeneza habari za uongo ambazo hamkuwa na uhakika nazo?
Kama serikali iliweza kumtoa Nusrat Henje ni wazi hata Nyangali atatoka!Na Mdude Nyalali na wengine kibao bado wanasota. Acheni hizo.
Watu wanasubiri vitendo maana maneno wameyasikia siku zote. Hakuna kiongozi aliyewahi kuwataka Mahakama wasitende haki.
Amandla...