Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

Uchaguzi wa watu waliobeba mabegi yaliyojaa kwenye vituo vya kupigia kura kwa mara ya kwanza tumeuona awamu ya 5
 
We babu kuna mahakama au kuna matawi ya CCM?
 
Wewe ulipiga kura ngapi
 
we siasa unaonekana huijui vizuri na wanasiasa huwajui, hivi yale majina unategemea yalijipeleka yenyewe kwa tume? bila kupelekwa na mtu? hapo ni mbowe ndiyo mhusika mkuu wa hii issue we tazama sasa ameshaanza kutafuta mbinu ya kuwasamehe yaani anye shabikia uinzani huwa ni fala wa kutupwa maana mpaka mnataka kufanya maandamano muumizewe na polisi muache kazi zenu kwaajili ya upuuzi wa mbowe na genge lake? sasa jiulize kwanini rufaa ya hao 19haisikilizwi? na kwanini hawataki kuwapeleka mahakamani ili iamuliwe kimahakama? wanajuwa watajiumbua na mdee alishawaonya waende taratibu ataharibu kila kitu kiwe wazi
 
Sasa kama hamuachiani kwanini unasema mbunge wa Nkasi aliachiwa?

Jenga hoja kwa mantiki bwashee!
hakukuwa na uchaguzi ile ni danganya toto CCM haiko mioyoni mwa watu ndo maana kafa MEKO watu wakafurahia sana mtaani ,serikali ikawa inalazimisha huzuni mara ikamate watu wakichinja ngombe mara ilazimishe mabaa kupiga nyimbo za dini ,wakati nyerere amefariki haya hayakuwepo watu walihuzunika kweli kweli ,KIPIMO: Ona alivyosahaulika haraka na kiwanja chake cha ndege chato
 
Halima James Mdee ni mpare yule anaweza kuivunjilia mbali Chadema kwa kumwaga ugali pamoja na mboga yake na kisado cha mbege!
 
Wewe ndio umemsahau wenzako wanasameheana huko Ufipa!
 
Mimi na wewe tuliwapigia CCM bana - ya ngoswe mwachie ngoswe!!
 
Kama serikali iliweza kumtoa Nusrat Henje ni wazi hata Nyangali atatoka!
Uwezo siku zote wanao. Nia ndio hawana. Nusrat Henje alitolewa ili akaunge mkono juhudi. Na amefanya hivyo. Wanajua Nyangali hawezi kuunga juhudi ndio maana hawatamtoa.

Amandla...
 
Kura yangu ya ubunge ilikwenda kwa Mdee ila ya Rais sikutaka kuipoteza kabisa!
Ah wapi.... wewe umlipigia yule askofu mfufua watu wasiofufuka. Labda kwa yale matokeo yaliyokamatwa mtaani kwenye rambo!
 
Uwezo siku zote wanao. Nia ndio hawana. Nusrat Henje alitolewa ili akaunge mkono juhudi. Na amefanya hivyo. Wanajua Nyangali hawezi kuunga juhudi ndio maana hawatamtoa.

Amandla...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Paliwahi kutokea kamanda mfia chama kama Halima James Mdee lakini yuko wapi leo?
 
Wewe ndio umemsahau wenzako wanasameheana huko Ufipa!
hakuna sabau inayoweza fanya mtu usimsamehe ikiwemo akitembea na mkeo ,na historia inaonesha baada ya kusamehew watu huwa wazlendo mara mbili
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Paliwahi kutokea kamanda mfia chama kama Halima James Mdee lakini yuko wapi leo?
Nyinyi ndo mnaoaga wachumba wasiowapenda afu mnalalamika kugongewa ,ndani ya halima mdee inaishi chadema zile ni tamaa za kawaida hakuna asie legea kwenye bil mbili ndo maana wana cc original huwa hawawakubali watu waliohama kwa kuhongwa hela alizoiba yule mbwa wa chato kwa wananchi maskini akawanunua ,rejea kura za maoni hakuna alieshinda kwa kura alietoka chadema wanaojielewa hawafanyikazi hivyo
 
Hizo zote ni ngonjera kwa sasa Halima Mdee yuko CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…