Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa.
Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji.
Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao kinataka kuwatoa madarakani, Je hiki chama kikikabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, wakawa wanasimamia rasilimali za nchi hawa si watatuuza mara 50 kuliko hata CCM?
Kiufupi hili suala la rushwa ndani ya CHADEMA ni doa kubwa sana. Chama kimekosa credibility, wananchi wanakosa imani na uongozi wa CHADEMA kwa kasi kubwa sana.
CHADEMA kama chama hakijakanusha madai ya makamu mwenyekiti. Kama makamu alikosea mbona hajachukuluwa hatua?, na kama hajakosea mbona hatuoni hatua za kinidhamu kwa walionunuliwa?
Hili jambo linaifanya CHADEMA ikose moral authority ya kukemea rushwa au ufisadi.