Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa.

Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji.

Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao kinataka kuwatoa madarakani, Je hiki chama kikikabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, wakawa wanasimamia rasilimali za nchi hawa si watatuuza mara 50 kuliko hata CCM?

Kiufupi hili suala la rushwa ndani ya CHADEMA ni doa kubwa sana. Chama kimekosa credibility, wananchi wanakosa imani na uongozi wa CHADEMA kwa kasi kubwa sana.

CHADEMA kama chama hakijakanusha madai ya makamu mwenyekiti. Kama makamu alikosea mbona hajachukuluwa hatua?, na kama hajakosea mbona hatuoni hatua za kinidhamu kwa walionunuliwa?

Hili jambo linaifanya CHADEMA ikose moral authority ya kukemea rushwa au ufisadi.
uliwaza chini ya kiwango cha kibinadamu sana gentleman 🐒

kwamba kabisa katika ukamilifu wako, ulikua ukiwaza na kuamini ati CHADEMA inaweza kuongoza nchi, kweli?🤣🤣
 
A

Anaweza Zitto 😂😂,watu wa kigoma bhana 😂😆
 
Umeliona hilo la samia kuuza tanganyika mbona hujaliandika humu, la ccm kuiba uchaguzi mbona hujasema kama wameiba uchaguzi wataiba kodi zetu? Umeliona la chadema
Aliyeuzwa ni mamako we bwege, kwa hiyo na we umeuzwa? Tumia akili badala ya makalio
 
Ila ndiyo wanaopewa vyeo wakija huko 😂😂 nyie wazee wa nyimbo za kusifu na kuabudu watawala mpo kwa keyboars 😂
uliwaza chini ya kiwango cha kibinadamu sana gentleman 🐒

kwamba kabisa katika ukamilifu wako, ulikua ukiwaza na kuamini ati CHADEMA inaweza kuongoza nchi, kweli?🤣🤣
 
CHADEMA ni watu siyo vyuma. Na ndani mwao watu waovu hawawezi kukosekana.

Kama Yesu Kristo ambaye wakristo wanaamini ni mwana wa Mungu alikuwa na mwanafunzi (Yuda iskarioti) aliyehongwa ili amsaliti, itakuwa CHADEMA?

Mjadala uwe CHADEMA wanafanya nini kupambana na rushwa na siyo kuamini kuwa CHADEMA haiwezi kuwa na wapenda rushwa ndani mwake.
Mtu anazungumzia hiyo chadomo ni zaidi ya mwehu. Yaani kabisa na akili yako hao nyumbu washinde uchaguzi? Nenda ukatibiwe
 
CCM wanavyouza kila kitu wao wamehongwa !
Nashukuru sasa akili zinaanza kuota kwani ulikuwa 'nanga' haswaa!
 
Ila ndiyo wanaopewa vyeo wakija huko 😂😂 nyie wazee wa nyimbo za kusifu na kuabudu watawala mpo kwa keyboars 😂
huwezi kupewa bila kutoa, hiyo ni kanuni ya kawaaida tu 🐒
 
Ila ndiyo wanaopewa vyeo wakija huko 😂😂 nyie wazee wa nyimbo za kusifu na kuabudu watawala mpo kwa keyboars 😂
We ndugu huwa una logic kwenye mambo mengi ya msingi na una element za uzalendo,sema nini!?,kuna wakati unateswa na ukada
 
Wewe ndugu huwa una logic kwenye mambo mengi ya msingi na una element za uzalendo sema nini!?,kuna wakati unateswa na ukada 😂
let me make this clear to you all my friends,

mim ni kiongozi wa wanainchi, na ninazingatia mno misingi ya uongozi utu na maadili....

nina hofu ya Mungu, na daima ni mnyonge mno kupotosha ninao amini ninawaongoza na wanaonitegemia mimi kuwaonyesha njia kwa niaba ya chama na serikali....

na ndio maana,
nimefurahi sana kwa wewe kubaini, kukikiri na kuthibitisha wazi kwa JF fraternity kwamba daima maelezo, uchambuzi na taarifa zangu huwa ni wa kizalendo sana na wenye logic ya maana na yenye manufaa kwa umma wa JF na kwengineko nchini....

daima licha ya kutofautiana kimaoni au mtazamo katika baadhi ya maeneo, lengo langu hubaki pale pale, Amani, amani, amani na upendo miongoni mwa waTanzania wote 🐒
 
Wewe wamekupa nini!?. 😂
Mwenyezi Mungu amenipa zawadi ya uhai afya na maisha bure kabisa,
Nafurahi nawe amekujalia uwezo, nguvu, hekima na busara hata tunajadiliana masuala mbalimbali kiungwana mathalani juu ya chama kisicho na uwezo hata wa kujiongoza chenyewe Chadema 🐒
 
Lakini anapotekea kiongozi anayesema anahisi ndani ya Chama chake Kuna rushwa, badala ya kumbagaza huyo anatakiwa kuungwa mkono.
Aungwe mkono kwa chama kuwashughulikia wote waliopokea pesa chafu inayodaiwa kutoka kwa mama abdul.
 
Back
Top Bottom