Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

uliwaza chini ya kiwango cha kibinadamu sana gentleman πŸ’

kwamba kabisa katika ukamilifu wako, ulikua ukiwaza na kuamini ati CHADEMA inaweza kuongoza nchi, kweli?🀣🀣
 
A
Anaweza Zitto πŸ˜‚πŸ˜‚,watu wa kigoma bhana πŸ˜‚πŸ˜†
 
Umeliona hilo la samia kuuza tanganyika mbona hujaliandika humu, la ccm kuiba uchaguzi mbona hujasema kama wameiba uchaguzi wataiba kodi zetu? Umeliona la chadema
Aliyeuzwa ni mamako we bwege, kwa hiyo na we umeuzwa? Tumia akili badala ya makalio
 
Ila ndiyo wanaopewa vyeo wakija huko πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie wazee wa nyimbo za kusifu na kuabudu watawala mpo kwa keyboars πŸ˜‚
uliwaza chini ya kiwango cha kibinadamu sana gentleman πŸ’

kwamba kabisa katika ukamilifu wako, ulikua ukiwaza na kuamini ati CHADEMA inaweza kuongoza nchi, kweli?🀣🀣
 
Mtu anazungumzia hiyo chadomo ni zaidi ya mwehu. Yaani kabisa na akili yako hao nyumbu washinde uchaguzi? Nenda ukatibiwe
 
CCM wanavyouza kila kitu wao wamehongwa !
Nashukuru sasa akili zinaanza kuota kwani ulikuwa 'nanga' haswaa!
 
Ila ndiyo wanaopewa vyeo wakija huko πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie wazee wa nyimbo za kusifu na kuabudu watawala mpo kwa keyboars πŸ˜‚
huwezi kupewa bila kutoa, hiyo ni kanuni ya kawaaida tu πŸ’
 
Ila ndiyo wanaopewa vyeo wakija huko πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie wazee wa nyimbo za kusifu na kuabudu watawala mpo kwa keyboars πŸ˜‚
We ndugu huwa una logic kwenye mambo mengi ya msingi na una element za uzalendo,sema nini!?,kuna wakati unateswa na ukada
 
Wewe ndugu huwa una logic kwenye mambo mengi ya msingi na una element za uzalendo sema nini!?,kuna wakati unateswa na ukada πŸ˜‚
let me make this clear to you all my friends,

mim ni kiongozi wa wanainchi, na ninazingatia mno misingi ya uongozi utu na maadili....

nina hofu ya Mungu, na daima ni mnyonge mno kupotosha ninao amini ninawaongoza na wanaonitegemia mimi kuwaonyesha njia kwa niaba ya chama na serikali....

na ndio maana,
nimefurahi sana kwa wewe kubaini, kukikiri na kuthibitisha wazi kwa JF fraternity kwamba daima maelezo, uchambuzi na taarifa zangu huwa ni wa kizalendo sana na wenye logic ya maana na yenye manufaa kwa umma wa JF na kwengineko nchini....

daima licha ya kutofautiana kimaoni au mtazamo katika baadhi ya maeneo, lengo langu hubaki pale pale, Amani, amani, amani na upendo miongoni mwa waTanzania wote πŸ’
 
Wewe wamekupa nini!?. πŸ˜‚
Mwenyezi Mungu amenipa zawadi ya uhai afya na maisha bure kabisa,
Nafurahi nawe amekujalia uwezo, nguvu, hekima na busara hata tunajadiliana masuala mbalimbali kiungwana mathalani juu ya chama kisicho na uwezo hata wa kujiongoza chenyewe Chadema πŸ’
 
Lakini anapotekea kiongozi anayesema anahisi ndani ya Chama chake Kuna rushwa, badala ya kumbagaza huyo anatakiwa kuungwa mkono.
Aungwe mkono kwa chama kuwashughulikia wote waliopokea pesa chafu inayodaiwa kutoka kwa mama abdul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…