Kikubwa ni kuchangia kukuza uchumi wa Watanzania. Huwezi kukaa na kusibiri kushika dola. Yaani huwezi kusubiri miaka kumi kuletewa maendeleo eti unasubiri kushika dola kama chama wanatakiwa kuendelea kudai haki na maendeleo ya watu maana wote ni walipa kodi.Chama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa!..
Una nyuzi za kipuuzi mno, najua una muda mfupi sana wa kuendelea kuwepoChama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa!...