Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Mambo yao waachie wenyewe...


Cc: Mahondaw
hatuwezi kuacha makosa yaleyale yafanyike kwenye chama kile kile miaka nenda miaka rudi na wanazuoni na wataalanu tumejazana mjini.
hiyo haiwezekani bana..... :NoGodNo:

we must do it for both political interests and for academic purposes:pedroP:
 
hatuwezi kuacha makosa yaleyale yafanyike kwenye chama kile kile miaka nenda miaka rudi na wanazuoni na wataalanu tumejazana mjini.
hiyo haiwezekani bana..... :NoGodNo:

we must do it for both political interests and for academic purposes:pedroP:
Hawajawahi kubadilika...


Cc: Mahondaw
 
Nimesoma comments kibao toka mwanzo wa thread mpaka sasa.
Hoja nilizoona

Watanzania ni watu fulani hivi (ma-dont care)
Inawezekana inasababishwa na kukosa Elimu ya kujitambua na kujua haki zao.
Mf. Walioweka kikokotoo na wanaotaka kiondolewe (bunge perfomance).

Kumbukumbu katika ufuatiliaji mambo.
-mtawala anaweza kuanzisha kitu cha ovyo kabisa na bado akiwa madarakani hakakataa siyo yeye na watanzania wakaona sawa.
Mf. Kufuta mikutano ili tujenge nchi na kuirudisha ingawa sijajua kama nchi ilishajengwa.


÷ Bendera fuata upepo kuanzia vingozi mpaka wananchi walio wengi (huu ndio mtaji hasa). Watanzania wengi hawajui kesho yao wanalazimika kusifia ili mkono uende kinywani watasifia hata pumba

Hakuna weledi (mtaji mwingine).
Mf. Mtu anakuwa mtangazaji wa Redio/TV directly kutoka kwenye ukomedi .Watu wanalishwa mahudhui yasiyo na mpangalio na hakuna regulatory body ya kusimamia hivi vitu (mtu anakuwa mtangazaji au anafanya kazi fulani bila kupata fresher course / bila kujua ethic za hiyo kazi. Watu wanatazama.

Hizi ni baadhi ya hoja zinazosimama kwa sehemu kubwa katika mjadala huu
Mtu anaandika hoja zake sio kuzingatia uhalisia bali nini atapata kesho kwa alichokiandika au kushadadia Leo (uchawa).
andika uzi kamili tu mkuu :pedroP:
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
Kama jamii imeshindwa kukomesha kuto kuhoji ambako huanzia ngazi ya familia sembuse la watu kuahirisha kufikiri (human herding), niishie hapo maana naweza kukukera
 
Hawakutumia akili
jamaa ana make sense sana kwenye pont ya kwenza.....

unawarudisha kundini, halafu taratibu kimkakati unawaadabisha moja baada ya mwingine kuvyake taratibu mpaka unawaondoa wote amabao wanadhoofisha uhai, wanaharibu image ya taasisi, wanakiuka sheria na kanuni za taasisi na mpaka leo mambo yangeisha kitambo sana.....:pedroP:
 
Cov19 siyo wanachama wa CHADEMA tangu siku ile walipovuliwa uwanachama wa CHADEMA,kuwang'oa bungeni siyo kazi ya CHADEMA ni kazi ya wale waliowapa ubunge kwa njia wanazo zijua wenyewe.
 
good luck gentleman 🤞

but,
in global area, these are common processes in resolving disputes....

negotiations
mediations
arbitrations and
the use of force 🐒

no failure on application of these procedures in attaining peace 🐒

matured political institutions must set it's principals and standards in the process of attaining its goals, missions and objectives 🐒

otherwise,
blablaa mpaka ukamilifu wa dahari 🐒
Good for you man.
Well said, at last i can see your input 😂😂, now you are talking man. Again Good for you man.
 
Back
Top Bottom