Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Mambo yao waachie wenyewe...


Cc: Mahondaw
hatuwezi kuacha makosa yaleyale yafanyike kwenye chama kile kile miaka nenda miaka rudi na wanazuoni na wataalanu tumejazana mjini.
hiyo haiwezekani bana.....

we must do it for both political interests and for academic purposes
 
hatuwezi kuacha makosa yaleyale yafanyike kwenye chama kile kile miaka nenda miaka rudi na wanazuoni na wataalanu tumejazana mjini.
hiyo haiwezekani bana.....

we must do it for both political interests and for academic purposes
Hawajawahi kubadilika...


Cc: Mahondaw
 
andika uzi kamili tu mkuu
 
Kama jamii imeshindwa kukomesha kuto kuhoji ambako huanzia ngazi ya familia sembuse la watu kuahirisha kufikiri (human herding), niishie hapo maana naweza kukukera
 
Hawakutumia akili
jamaa ana make sense sana kwenye pont ya kwenza.....

unawarudisha kundini, halafu taratibu kimkakati unawaadabisha moja baada ya mwingine kuvyake taratibu mpaka unawaondoa wote amabao wanadhoofisha uhai, wanaharibu image ya taasisi, wanakiuka sheria na kanuni za taasisi na mpaka leo mambo yangeisha kitambo sana.....
 
Cov19 siyo wanachama wa CHADEMA tangu siku ile walipovuliwa uwanachama wa CHADEMA,kuwang'oa bungeni siyo kazi ya CHADEMA ni kazi ya wale waliowapa ubunge kwa njia wanazo zijua wenyewe.
 
Good for you man.
Well said, at last i can see your input πŸ˜‚πŸ˜‚, now you are talking man. Again Good for you man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…