Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu.
Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa kuliko umpe mteja tahadhari mapema anapoagiza, au mtu uwe unaanza kuagiza chapati moja kwanza, yale mazoea ya kuagiza chapati mbili kama dozi punguzeni.