Kama chapati yako moja ni sawa na mbili za zamani (oversize) mwambie mteja mapema

Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu.

Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa kuliko umpe mteja tahadhari mapema anapoagiza, au mtu uwe unaanza kuagiza chapati moja kwanza, yale mazoea ya kuagiza chapati mbili kama dozi punguzeni.
Yalinikuta haya juzi tu.

Niliagizia supu na chapati 3 (kimazoea). Baada ya moja na nusu tu nikasanda.
Kumbe zilikuwa 2 in 1.
 
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu.

Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa kuliko umpe mteja tahadhari mapema anapoagiza, au mtu uwe unaanza kuagiza chapati moja kwanza, yale mazoea ya kuagiza chapati mbili kama dozi punguzeni.
Chapati kama chapati au chapati?
 
Nilishawaza kuwa unamaanisha upana wa uchi wa mwanamke.

Basi nikategemea comment ya mdada, 'soseji za Sasa zimekuwa ndogo na zimelegea'.

Astagafirulillah my devil's mind.
😀😀😀
 
Back
Top Bottom