Bei yake ni rafiki!Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu.
Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa kuliko umpe mteja tahadhari mapema anapoagiza, au mtu uwe unaanza kuagiza chapati moja kwanza, yale mazoea ya kuagiza chapati mbili kama dozi punguzeni.
Me napenda sana chapati, uwa nakula zile za jero za kawaida 3-4 ila ile siku 1 nikasema aisee.Wengine wanaleta tu ukishaanza kula ndio unashituka umeingia cha kike.
Chaparare la chuga hilo jombi.Nilikua Arusha sehemu flani wanauza msosi kwa nje, nikasema naomba chapati mbili, yule dada akasema nakuletea moja kwanza. Oyaβ¦ π
Mazoea ya home, maana familia zetu tunakuwa kibao!Hivyo balance ni 2'2zaidi ya hapo kale mapera!Hivi bongo nani alitufundisha kua chapati zinaanziwa kuagizwa mbili.
πππ Zaid ya hapo kale mapera.Mazoea ya home, maana familia zetu tunakuwa kibao!Hivyo balance ni 2'2zaidi ya hapo kale mapera!
Kuna jamaa alikuja Home kwetu alikua Bonge anakula chapati sita na maharage ya nazi bakuli kubwaHivi bongo nani alitufundisha kua chapati zinaanziwa kuagizwa mbili.