Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Nalenga kupanua wigo wa kufikiri!

Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai?

Vipi Thailand?

Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China!

Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi?

🙏🙏🙏
 
Za bei rahisi za kiwango duni lakini kama unataka bidhaa ya kiwango cha kuridhisha unapata sehemu nyingi duniani.
 
Vietnam,Indonesia,Thailand........ japo sio kwa kiwango anacho zalisha China

Sorry Dubai anazalisha vitu gani mpaka ukamuweka katika sentensi moja na China katika uzalishaji ?
Na mimi nilitaka kuuliza hilo swali.
 
Nalenga kupanua wigo wa kufikiri!

Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai?

Vipi Thailand?

Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China!

Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi?

🙏🙏🙏
Sehemu nyingi sana eg Turkiye,Thailand, Vietnamese, Indonesia na India.
 
Nalenga kupanua wigo wa kufikiri!

Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai?

Vipi Thailand?

Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China!

Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi?

🙏🙏🙏
Unafikiri wanazĂ lisha bidhaa ili wĂ tanzania wakimbilie?
UnĂ  uelewa mdogo sĂ na nĂ  mĂ mbo ya uchumi.
 
Dubai anazalisha nini? Nachojua ni soko lile bidhaa zinatoka kwingine.
 
Vietnam,Indonesia,Thailand........ japo sio kwa kiwango anacho zalisha China

Sorry Dubai anazalisha vitu gani mpaka ukamuweka katika sentensi moja na China katika uzalishaji ?
Dubai ni "mkusanyaji", kwa hiyo hata vya Mchina vinaweza vikapatikana Dubai, kama sitakuwa nimekosea!
 
Dubai anazalisha nini? Nachojua ni soko lile bidhaa zinatoka kwingine.
Ndivyo na mimi nijuavyo. Kuiweka pamoja na China ni kwa vile napo Watanzania wanapategemea kwa bidhaa!
 
Unafikiri wanazĂ lisha bidhaa ili wĂ tanzania wakimbilie?
UnĂ  uelewa mdogo sĂ na nĂ  mĂ mbo ya uchumi.
Kwa hilo la kuwa na uelewa mdogo wa uchumi, umepatia kabisa mkuu! Ninao uelewa mdogo sana, ndiyo maana najitahidi kujifunza kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwauliza waelewa wa hapa JF!
 
Masoko yako.mengi sana dunian, ni wewe tu ujifunze kutembea na kujifunza vitu vipya. Maana kila eneo na shughuli zake
 
Dubai anazalisha nini? Nachojua ni soko lile bidhaa zinatoka kwingine.
Vietnam,Indonesia,Thailand........ japo sio kwa kiwango anacho zalisha China

Sorry Dubai anazalisha vitu gani mpaka ukamuweka katika sentensi moja na China katika uzalishaji ?

Dubai ni center uua biashara, hivyo vinavyotoka CHINA, Vietnam, thailand, Korea, Japan, India, Pakistan vyote unavikuta Dubai
 
Uzi ufungwe.
Yaani uko sahihi kabisa wala hujakosea.
Dubai kwa vile ni katikati ya Dunia so mizigo ya kutoka pande mbalimbali za dunia inaletwa pale kisha inafanyiwa seggregation na baadae kusafirishwa tena kwenda kwenye final destinations.
Hata makampuni ya Cargo Airlines hii ndio mbinu wanayoitumia wanakuwa na ndege zinazokusanya mizigo kutoka kona mbalimbali za dunia wanaishusha Dubai,kisha kuna ndege zingine zinasubiria Dubai kupakia mizigo iliyopakuliwa tena muda huohuo.
Sasa kwa mantiki hii ukisema uagize kwenye nchi zingine tofauti na Dubai,China utajikuta unatumia gharama kubwa sana ya usafirishaji na wakati mwingine inakulazimisha usafirishe mara mbili ndio mzigo ukufikie mahali ulipo.
Mwisho wa siku ukipiga hesabu ya jumla utajikuta umetumia gharama kubwa mno kuliko kawaida
 
na kwa kujalizia, na almost ma agent wote kila bidhaa zenye masoko unawakuta Dubai, product zipo Thailand lakini negotiation zote zinafanyika Dubai.
 
Nalenga kupanua wigo wa kufikiri!

Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai?

Vipi Thailand?

Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China!

Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi?

🙏🙏🙏
Dubai wanazalisha nini?
 
na kwa kujalizia, na almost ma agent wote kila bidhaa zenye masoko unawakuta Dubai, product zipo Thailand lakini negotiation zote zinafanyika Dubai.
Exactly,halafu Dubai bidhaa hata kama haipo wewe ongea big suppliers watakuletea kutoka UK,CANADA,US kwa muda usiozidi wiki moja
 
Back
Top Bottom