Kama chuki kweli Clouds fm mnatisha kwa Lady J dee

Choice fm ni yao pia lkn wao naona hawana matatizo nae, matangazo ya machozi band yanapewa airtime na hata nyimbo hiyo ya Ben pol ikipigwa jina la jide linatajwa bila shida, he ni kwa kuwa wanatangaza kwa kiingereza? nijuzeni
 

tbc nao ni janga jingine la taifa
 

lazima wewe utakuwa kibonde tu
 
Siku moja kuna dada muimba taarab mke wa hammer q aliambiwa na Dina Marios aimbe wimbo wowote wa bongo flava,akaimba usiusemee moyo wa Jide alikatizwa hewan haraka sana.
 
Mimi nilishaacha zamani kusikiliza Radio yao,maana wao na magamba akilizao zinafanana,ni walafi wa kila kitu kuanzia pesa mpaka ngono kwa wasanii wa kike,nasikia na sembe pia wanahusika nayo,ni genge jingine la uhalifu sema kwa kuwa liko karibu na magamba inakuwa ngumu kuligusa.
 
Kama redio ilimuoji mtu aliyeandika bongofleva kwenye mtiani wake wa mwisho wa taifa na kumpongeza wanafundisha nin vijana wetu ningekuwa Tcra ningeifunga akuna maadili matusi kibao
 
chezea clouds wew...nawapenda cz hawana shobo na m2...haha hamna jina la Jde ndani ya clouds..ukimshirikisha jde peleka nyimbo zako ktk media nyingne
 
yeye ndo anaongoza kwa shobo na wivu wa kike! Na kiherehe zaidi

Tena ukimchunguza zaidi atakuwa amekulia kwenye familia hoi watu wa namna hii akipata kidogo anakuwa na roho ya kuwaminyia wenzake
 
Kumbe upo! nakusalimu! Inaelekea wewe ni Immortal kwa jinsi ulivyomwita Jay D .
 
nimesha sahau kama kuna kitu inaitwa clouds fm, c ckiliz radio ya majungu na unyonyaji. PUMBAVUUUU

mi namskilizaga shafii dauda2,ila nae anazngua coz nmegundua ukiperuz goal.com jion ukimsiklza anapita mulemule!
 

we ndo ruge nini?
 

Kibabu hando naona umeamua kujibu kwa niaba ya maleberali wenzio.
 
Afu nackia huyo geru mwenyewe ana umwiki na akupi job had ukudinye... Jide uko juu mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…