THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?
Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??
Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..
Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??
Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..
Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..
Tutaona mwisho wake..
Daima tutajivunia Redio imaan..