Dj mat
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 747
- 475
Mtaifungulia tuh...
Ni kweli itafunguliwa wakuu wakijisikia kufanya hivyo.Kuwa na subra!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaifungulia tuh...
Mtaifungulia tuh,mtake msitake
Simple, radio imaan ni radio ya kigaidi.
TCRA wapo humu ndani na ID yao ndio hiyo, ila kuhusu kukata rufaa kwenye vyombo vya habari walisema vyombo vyote hivyo vimepewa mwezi mmoja kuwasilisha rufaa yao na si clouds peke yao.Huna Adabu kabisa..
Sio mbaya zikifungiwa kama zinavunja maadili!
Kama mambo ya sensa yalishapita ya nn tena kuyaongelea? Hamjui kuwa kutokana na maneno hayo next time wa sensa mtasababisha mgomo mkubwa wa waislam kukataa kuhesabiwa? Ebu kila kitu nmachofanya angalia effect yake kwa baadae hata kama effect itajionyesha baada ya miaka mingi, angalien kizazi kijacho ataishi na aman au la!
TCRA wapo humu ndani na ID yao ndio hiyo, ila kuhusu kukata rufaa kwenye vyombo vya habari walisema vyombo vyote hivyo vimepewa mwezi mmoja kuwasilisha rufaa yao na si clouds peke yao.
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?
Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??
Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..
Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??
Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..
Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..
Tutaona mwisho wake..
Daima tutajivunia Redio imaan..
Inafahamika kuwa wakristo hawajitoi mhanga ............... MAGAIDI wote ni kundi fulani ambalo linasema kuwa Yesu si Mungu.
TCRA wapo humu ndani na ID yao ndio hiyo, ila kuhusu kukata rufaa kwenye vyombo vya habari walisema vyombo vyote hivyo vimepewa mwezi mmoja kuwasilisha rufaa yao na si clouds peke yao.
Kwani Yesu ni Mungu??
Kwani Yesu ni Mungu??
Simple, radio imaan ni radio ya kigaidi.
Kwani Yesu ni Mungu??
Na ukikata rufaa ukashindwa inafutwa kabisa leseni.
Hivyo vibabu huingia studio vikiwa vimelewa kahawa na kashataUjinga na upuuzi usingekuwepo Radio Imaan ingeshafungiwa siku nyingi na wale vibabu wanaohubiri chuki wangecharazwa bakora za makalio wote. Ushukuru huo huo ujinga na upuuzi angalau imedumu kwa mwaka