Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kata kabisa na cable wapotee milele mijitu inatapakaza ghasia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?
Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??
Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..
Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??
Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..
Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..
Tutaona mwisho wake..
Daima tutajivunia Redio imaan..
kasome katiba uone. tofuati ya kufungiwa na kupewa fine. kwa neema na imaan zimefungiwa kutokana na malalamiko ya wasikilizaji yaliyopitiliza kiasi
katika wale maadui watatu wa taifa,maradhi,ujinga na umasikini,sasa inaonyesha wazi adui namba moja wala siyo umasikini bali ni ujinga! natumaini mkuu wangu umenielewa!!Huu ukristo kama si kukumbatiwa na baadhi ya serikali za kidunia,leo hii dunia ingekuwa pahala salama na palipojaa uwadilifu.
Ila wakati mwingine kuwa na vitu kama hivi,vinakuonyesha ni jinsi gani unavyoishi katika dunia na changamoto unazokabiliana nazo kuelekea kwenye mafanikio.
Dunia ni kama kituo cha kufanyia mtihani. Katika kufanya mitihani,zipo changamoto chungu mzima unazokabiliana nazo ili kufikia kufaulu au kufeli.
Ukristo,ukisimamiwa kwa gharama zozote na kwa nguvu zote na baadhi ya serikali zenye nguvu hapa duniani,ni sehemu mojawapo ya changamoto tunazokabiliwa nazo Waislamu dunia mzima kuelekea kufuzu au kinyume na hivyo.
Kumbukeni mti wenye matunda ndiyo unaopopolewa mawe!! Ifike wakati sasa kwa Waislamu wafahamu hivyo. Hawa jamaa hawana matumaini tena baada ya hii dunia. Wao dunia wameifanya ndio kila kitu katika maisha yao!! Lakini kwa mtu mwenye kufikiri sawasawa anaweza asiitegemee sana dunia.
Sababu dunia ni sehemu ya mapito tu!! Angalieni zaidi kilichowaleta duniani na si mlichokikuta duniani that's all!!
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?
Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??
Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..
Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??
Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..
Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..
Tutaona mwisho wake..
Daima tutajivunia Redio imaan..
kata kabisa na cable wapotee milele mijitu inatapakaza ghasia tu
Radio Imani ifungie milele, ile sio radio rather kijiwe cha wajinga wa kiislamu kuwatukana WAKRISTOOO. Ikifunguliwa mimi mwenyewe nitaenda mpaka the Hague, magaidi wasifunguliwe radio yenu hiyo
katika wale maadui watatu wa taifa,maradhi,ujinga na umasikini,sasa inaonyesha wazi adui namba moja wala siyo umasikini bali ni ujinga! natumaini mkuu wangu umenielewa!!
Ujinga na upuuzi usingekuwepo Radio Imaan ingeshafungiwa siku nyingi na wale vibabu wanaohubiri chuki wangecharazwa bakora za makalio wote. Ushukuru huo huo ujinga na upuuzi angalau imedumu kwa mwaka
Siku zote walikuwa wapi tcra?sensa imewaasil nini?wakat matokeo wamepata?nawameyatoa.nan kaasilika na sensa?wawe wakweli
Dua la kuku....
madrassa ni jangaUkwel daima unauma,IMAN haijawai kuwatukana wakristu,kuwen waungwana tcra wamepotoka.kama mnavyopotoka wakristu duniani
Mimi ni muislamu na nakiri sijawahi kuisikia radio Kwa Neema lakini si siri kwamba ujumbe unaosambazwa na Radio Imaan mara kadhaa si wa kuitakia nchi yetu amani.
Nashangaa eti kosa pekee lililosababisha kufungiwa eti ni lile lililotokea mwaka Jana!
Hivi gazeti la Mwanahalisi lilifanya kosa gani kubwa lililostahili hukumu ya kufungiwa maisha? Huu ni unafiki mkubwa unaostahili kulaaniwa na waadilifu wote kwani yaliyokuwa yakianikwa na gazeti lile yalistahili kukemewa na jamii yoyote adilifu.
Umesoma kitabu cha aya za shetani? Satanic vesses in quran . Wake up my brother you are lost.
Umesoma kitabu cha aya za shetani? Satanic vesses in quran . Wake up my brother you are lost.