Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

Wewe inaelekea hupendi kusikiliza kwa makini!
Rufaa ni haki ya kila mtu! Tena wamepewa ndani ya siku 30

Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?

Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??

Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..

Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??

Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..

Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..

Tutaona mwisho wake..

Daima tutajivunia Redio imaan..
 
Wote wana haki sawa ya kukata rufaa kama hawakubaliana na maamuzi!

kasome katiba uone. tofuati ya kufungiwa na kupewa fine. kwa neema na imaan zimefungiwa kutokana na malalamiko ya wasikilizaji yaliyopitiliza kiasi
 
Huu ukristo kama si kukumbatiwa na baadhi ya serikali za kidunia,leo hii dunia ingekuwa pahala salama na palipojaa uwadilifu.

Ila wakati mwingine kuwa na vitu kama hivi,vinakuonyesha ni jinsi gani unavyoishi katika dunia na changamoto unazokabiliana nazo kuelekea kwenye mafanikio.

Dunia ni kama kituo cha kufanyia mtihani. Katika kufanya mitihani,zipo changamoto chungu mzima unazokabiliana nazo ili kufikia kufaulu au kufeli.
Ukristo,ukisimamiwa kwa gharama zozote na kwa nguvu zote na baadhi ya serikali zenye nguvu hapa duniani,ni sehemu mojawapo ya changamoto tunazokabiliwa nazo Waislamu dunia mzima kuelekea kufuzu au kinyume na hivyo.

Kumbukeni mti wenye matunda ndiyo unaopopolewa mawe!! Ifike wakati sasa kwa Waislamu wafahamu hivyo. Hawa jamaa hawana matumaini tena baada ya hii dunia. Wao dunia wameifanya ndio kila kitu katika maisha yao!! Lakini kwa mtu mwenye kufikiri sawasawa anaweza asiitegemee sana dunia.
Sababu dunia ni sehemu ya mapito tu!! Angalieni zaidi kilichowaleta duniani na si mlichokikuta duniani that's all!!
katika wale maadui watatu wa taifa,maradhi,ujinga na umasikini,sasa inaonyesha wazi adui namba moja wala siyo umasikini bali ni ujinga! natumaini mkuu wangu umenielewa!!
 
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?

Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??

Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..

Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??

Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..

Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..

Tutaona mwisho wake..

Daima tutajivunia Redio imaan..

Radio Imani ifungie milele, ile sio radio rather kijiwe cha wajinga wa kiislamu kuwatukana WAKRISTOOO. Ikifunguliwa mimi mwenyewe nitaenda mpaka the Hague, magaidi wasifunguliwe radio yenu hiyo
 
Radio Imani ifungie milele, ile sio radio rather kijiwe cha wajinga wa kiislamu kuwatukana WAKRISTOOO. Ikifunguliwa mimi mwenyewe nitaenda mpaka the Hague, magaidi wasifunguliwe radio yenu hiyo

Dua la kuku....
 
Ukwel daima unauma,IMAN haijawai kuwatukana wakristu,kuwen waungwana tcra wamepotoka.kama mnavyopotoka wakristu duniani
 
Ujinga na upuuzi usingekuwepo Radio Imaan ingeshafungiwa siku nyingi na wale vibabu wanaohubiri chuki wangecharazwa bakora za makalio wote. Ushukuru huo huo ujinga na upuuzi angalau imedumu kwa mwaka

Mimi ni muislamu na nakiri sijawahi kuisikia radio Kwa Neema lakini si siri kwamba ujumbe unaosambazwa na Radio Imaan mara kadhaa si wa kuitakia nchi yetu amani.
Nashangaa eti kosa pekee lililosababisha kufungiwa eti ni lile lililotokea mwaka Jana!
Hivi gazeti la Mwanahalisi lilifanya kosa gani kubwa lililostahili hukumu ya kufungiwa maisha? Huu ni unafiki mkubwa unaostahili kulaaniwa na waadilifu wote kwani yaliyokuwa yakianikwa na gazeti lile yalistahili kukemewa na jamii yoyote adilifu.
 
Siku zote walikuwa wapi tcra?sensa imewaasil nini?wakat matokeo wamepata?nawameyatoa.nan kaasilika na sensa?wawe wakweli

Acha kutuharibia Lugha wewe! "kaasilika" na "imewaasili" ndio nini? English najua hujui ila nasikitika kama hata kiswahili nacho hukijui
 
Redio zilizofungiwa: 1.Kwa neema(christian). 2.Imani(muslim). Hapo Walalamishi utawaona tu.
 
Dah jamaa wamechelewa sana kuitendea haki redio hii
 
Simply iz that our beloved station will b on air afta 6 months,endeleen kuskiza redio zihamasishazo ushoga
 
Mimi ni muislamu na nakiri sijawahi kuisikia radio Kwa Neema lakini si siri kwamba ujumbe unaosambazwa na Radio Imaan mara kadhaa si wa kuitakia nchi yetu amani.
Nashangaa eti kosa pekee lililosababisha kufungiwa eti ni lile lililotokea mwaka Jana!
Hivi gazeti la Mwanahalisi lilifanya kosa gani kubwa lililostahili hukumu ya kufungiwa maisha? Huu ni unafiki mkubwa unaostahili kulaaniwa na waadilifu wote kwani yaliyokuwa yakianikwa na gazeti lile yalistahili kukemewa na jamii yoyote adilifu.

gazeti la mwanahalisi lilianzishwa rasmi kwa ajili ya kuleta machafuko nchini.likitumia mbinu za kijasusi kuhack mawasiliano ya watu .Nasikia kina kubenea walikua ni majasusi waliosomea nje kwa kazi ya kuangusha serikali,ndo maana kila siku majasusi wa kizungu wanakuja Tanzania kuishinikiza serikali ilifungulie mwanahalisi.
 
Umesoma kitabu cha aya za shetani? Satanic vesses in quran . Wake up my brother you are lost.

The Quran, the last revealed Word of God, is the prime source of every Muslim's faith and practice. It deals with all the subjects which concern us as human beings: wisdom, doctrine, worship, and law, but its basic theme is the relationship between God and His creatures. At the same time it provides guidelines for a just society, proper human conduct and an equitable economic system.
 
Umesoma kitabu cha aya za shetani? Satanic vesses in quran . Wake up my brother you are lost.

The Quran is a record of the exact words revealed by God through the Angel Gabriel to the Prophet Muhammad. It was memorized by Muhammad and then dictated to his Companions, and written down by scribes, who cross-checked it during his lifetime. Not one word of its 114 chapters, Suras, has been changed over the centuries, so that the Quran is in every detail the unique and miraculous text which was revealed to Muhammad fourteen centuries ago.

The Quran says: God forbids you not, with regards to those who fight you not for [your] faith nor drive you out of your homes, from dealing kindly and justly with them; for God loveth those who are just. (Quran, 60-8)It is one function of Islamic law to protect the privileged status of minorities, and this is why non-Muslim places of worship have flourished all over the Islamic world. History provides many examples of Muslim tolerance towards other faiths: when the caliph Omar entered Jerusalem in the year 634, Islam granted freedom of worship to all religious communities in the city.
Islamic law also permits non-Muslim minorities to set up their own courts, which implement family laws drawn up by the minorities themselves
 
Back
Top Bottom