Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?

Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??

Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..

Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??

Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..

Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..

Tutaona mwisho wake..

Daima tutajivunia Redio imaan..
 
Hawajazuiwa kukata rufaa, wana mwezi mmoja wa kufanya hivyo. Hii ni haki Yao ya kikatiba na walielezwa walipopewa adhabu.
 
kasome katiba uone. tofuati ya kufungiwa na kupewa fine. kwa neema na imaan zimefungiwa kutokana na malalamiko ya wasikilizaji yaliyopitiliza kiasi
 
Kwa neema imeonewa ili waislamu wasilalamike , ionekane kuwa wamebalance
 
wote tunasafiria jahazi moja sasa wewe litoboe uone kama patakalika . Unashabikia ugaidi eti radio imani ya kigaidi na ww uko wp c hapahapa
 
hakuna cha ugaidi wala nini, ebu tujaribu kuacha ujinga na upuuzi kidogo jamani!
 
Siku zote walikuwa wapi tcra?sensa imewaasil nini?wakat matokeo wamepata?nawameyatoa.nan kaasilika na sensa?wawe wakweli
 
Siku zote walikuwa wapi tcra?sensa imewaasil nini?wakat matokeo wamepata.nawameyatoa.nan kaasilika na sensa?wawe wakweli
 
Aaaah, ile isifunguliwe kabisa, inakoelekea ile itakuja kukushawishi DULLAH MSAVIVOR ujilipue na mabomu, halafu ndio utakuwa mwisho wako wa kuwa MSAVIVOR.
 
..Kama ni kadi nyekundu wangepewa wote... Kwa nini CLOUDS FM na hawakufungiwa ???? badala yake wanalipisshwa faini...
 
Wao si wanasema zoez la sensa lilienda vyema??

Sasa wanaifungia redio yetu kwa vigezo gani??
 
Siku zote walikuwa wapi tcra?sensa imewaasil nini?wakat matokeo wamepata?nawameyatoa.nan kaasilika na sensa?wawe wakweli

na walituambia wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa ktk sensa na kupata hesabu yao . Watasema mengi kuhusu radio iman kwakufichaficha ila mficha moto moshi umuumbua
 
hakuna cha ugaidi wala nini, ebu tujaribu kuacha ujinga na upuuzi kidogo jamani!

Ujinga na upuuzi usingekuwepo Radio Imaan ingeshafungiwa siku nyingi na wale vibabu wanaohubiri chuki wangecharazwa bakora za makalio wote. Ushukuru huo huo ujinga na upuuzi angalau imedumu kwa mwaka
 
Ujinga na upuuzi usingekuwepo Radio Imaan ingeshafungiwa siku nyingi na wale vibabu wanaohubiri chuki wangecharazwa bakora za makalio wote. Ushukuru huo huo ujinga na upuuzi angalau imedumu kwa mwaka

Lazima tutakuduwaza,

Tutaiudisha hewan hivi soon..

Mark my words,,
 
Aaaah, ile isifunguliwe kabisa, inakoelekea ile itakuja kukushawishi DULLAH MSAVIVOR ujilipue na mabomu, halafu ndio utakuwa mwisho wako wa kuwa MSAVIVOR.

Hakuna kitu kama hicho,ile lazima ifunguliwe,,

Tena soon..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…