Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 Mar 27, 2020 #1 Utapenda umiliki nini kama ukibaki kati ya watu wachache watakaobaki Baada ya Corona kumaliza idadi kubwa ya watu duniani. Mimi naanza: Ikulu magogoni ya kwangu. Sent using Jamii Forums mobile app
Utapenda umiliki nini kama ukibaki kati ya watu wachache watakaobaki Baada ya Corona kumaliza idadi kubwa ya watu duniani. Mimi naanza: Ikulu magogoni ya kwangu. Sent using Jamii Forums mobile app
Fuqin JF-Expert Member Joined Dec 2, 2018 Posts 306 Reaction score 625 Mar 27, 2020 #2 Lile Jiwe kubwa alilokalia jiwe lakwangu nimeliwahi Sent using Jamii Forums mobile app
Witmak255 JF-Expert Member Joined Feb 5, 2019 Posts 3,264 Reaction score 5,419 Mar 27, 2020 #3 Mbinguni huendi😳😡
Najaf JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,505 Reaction score 2,393 Mar 27, 2020 #4 Mimi niwe wa mwisho kutoka quarantine,,,,yaani WaTu wote MaDaktari,,na wagonjwa wafe. Nimiliki pumzi zangu tu, Kikubwa uhai!!!
Mimi niwe wa mwisho kutoka quarantine,,,,yaani WaTu wote MaDaktari,,na wagonjwa wafe. Nimiliki pumzi zangu tu, Kikubwa uhai!!!
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Mar 27, 2020 #5 Hivi hii ndo inaitwa kufa kufaana eeh
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,438 Reaction score 6,313 Mar 27, 2020 #6 FAIZHAD said: Mimi niwe wa mwisho kutoka quarantine,,,,yaani WaTu wote MaDaktari,,na wagonjwa wafe. Nimiliki pumzi zangu tu, Kikubwa uhai!!! Click to expand... Unapata malaria unakufa.
FAIZHAD said: Mimi niwe wa mwisho kutoka quarantine,,,,yaani WaTu wote MaDaktari,,na wagonjwa wafe. Nimiliki pumzi zangu tu, Kikubwa uhai!!! Click to expand... Unapata malaria unakufa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 27, 2020 #7 Hatari sana... Cc: mahondaw
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,755 Reaction score 9,889 Mar 27, 2020 #8 BOT Sent using Jamii Forums mobile app
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Mar 27, 2020 #10 Cha kwanza ili tuliobaki tuishi kwa Amani nitateketeza documents zote za CCM Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza ili tuliobaki tuishi kwa Amani nitateketeza documents zote za CCM Sent using Jamii Forums mobile app
Okoth p'Bitek JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,384 Mar 27, 2020 #11 Visa free nifanye adventure kwenye kumbi zote za starehe duniani.Namalizia kwa kusema Paris yangu