Kama Corona ikiua watu wengi ila wewe ukibaki

Kama Corona ikiua watu wengi ila wewe ukibaki

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Utapenda umiliki nini kama ukibaki kati ya watu wachache watakaobaki Baada ya Corona kumaliza idadi kubwa ya watu duniani.

Mimi naanza:
Ikulu magogoni ya kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niwe wa mwisho kutoka quarantine,,,,yaani WaTu wote MaDaktari,,na wagonjwa wafe.

Nimiliki pumzi zangu tu,

Kikubwa uhai!!!
 
Visa free nifanye adventure kwenye kumbi zote za starehe duniani.Namalizia kwa kusema Paris yangu
 
Back
Top Bottom