Kama Daktari wa Binadamu anaumizwa na kifo cha mgonjwa. Je, ni maumivu gani aliyonayo mtekaji na muuaji?

Uumia[emoji777]Huumia[emoji818]
Utibu[emoji777]Hutibu[emoji818]
Hoja yako imeeleweka vizuri ila siku nyingine kwenye uandishi wako zingatia hayo makosa uliyo yafanya kama ni mswahili mwenzangu,ila kama ni mgeni nakupa hongera umejitahidi.
 
Adui wa MTU mweusi ni Mweusi mwenyewe...

Magufuli anasahau kuwa kumwaga Damu isiyo hatia ni LAANA juu ya Nchi na ndo maana Utajiri wote wa Tanzania unaenda Ulaya na Amerika kwasababu ya laana ya watawala.
Wakiambiwa ukweli povu.wanaiba Kodi zetu wanaficha mabenki ya ulaya, Hakuna mtawala wa kiafrica asiyenuka damu za watu.Waafrika waliouliwa na wakoloni weusi ni kuliko waliouliwa na wakoloni weupe.
 

Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 3
Tumuulize mchoma sindano za sumu Kijana Doto James mwenyekiti wa Uvccm duniani
 
Pieter W Botha alikuwa sahihi kabisa Kwa hiki alicho kisema...
Ukisoma history sijawahi sikia gavana au mtawala wa kikoloni amewahi iba Kodi za wananchi, kujilimbikizia mali, kuficha pesa nje kwenye mabenki ya ulaya,kujijengea magabolite (Mobutu),au machato,au makabarak (Moi) au kasri la zuma, au kujenga mahekalu ulaya ( mobutu, Mugabe, abacha, au kujaza vyumba madola ( bashir).
Ubinafsi, uroho, uuaji, uzinzi, ushirikina,
 
Huyo ni daktari wa enzi hizo. Hawa wa siku hizi sidhani kama wanasikitika mgonjwa akipoteza maisha. Wao na manesi wao, vifo vya kizembe kabisa vinawapata WaTz, wao wapo wapo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…