Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Aisee jamaa yuko fit jamani,

Wanasema mwenye nacho anaongezewa nilichokiona Jana jamaa alikuwa anarushiwa dolla kama Yale makaratasi ya miatano pale leaders

Nilikuwa Serena hotel KGL tukaambiwa Davido anapanda soon jukwaani, heheeeee.Jama amejipanga jamani alishia kuzoa dola za wazungu nilitamani niwe namwokotea.

Alifanya kazi aliotumwa nakama amelipwa basi kihalali.

Nasema hivi nilisikia Majuzi alienda kufanya shoo alipolipwa akatangaza live zinaenda kwa watoto yatima na kumkabidhi mkurugenzi wake zote.
 
Pdidy toka tulivyoachana jana ndio unaamka saa hizi?? kweli pombe sio chai katafute hata mchemsho wa kuku unywe kaka
 

Na hata diamond hivyo visafari vya ulaya ni remix alomshirikisha huyo jamaa!
 
Jamaa anauweza muziki yaan si mchezo, diamond anaweza kuvaa bikini tu!!!!
 
Davido ana rafudhi mbovu, ni heri niwasikilize vinega.
 
Haahaaaa




MBUNGUNII KUNA MAKAO MAZURI SANA MBINGUN KWELI KUNA MAKAO MAZURI SANA


DEO UTAONA WATU WAKISOMS HUO WIMBO AWARUDI TENA SIJUI WANQOGOPAGA NINI

pdidy mi nilijua wahudhuria majukwaa ya kina Gwajima tu kumbe hata kwenye majukwaa ya skeleuu
 
Pdidy unajua wewe ni mtu pekee humu jf,Mungu akupe nguvu mtumishi mpakwa mafuta wa Mungu.
 
Jaman hata domo wetu kajirahid nje asingetengeneza remix, Davido afanye mpango wa kumsaidiaa domoo
 
Roho yako itakuwa ni ya kipekee sana ndugu...sasa kama asingeitwa kwenye tuzo ndio ingekuwa faraja yako ?

Kwa hiyo pale tunapoangalia chaneli za michezo za kimataifa na kuwaona wenzetu kama Kenya, Ethiopia wanavyotamba (mfano kwenye riadha) na bendera zao ili hali Watanzania sijui tupo wapi, basi roho yako inakuwa kwatu kabisa.
 
Haahaaaa




MBUNGUNII KUNA MAKAO MAZURI SANA MBINGUN KWELI KUNA MAKAO MAZURI SANA


DEO UTAONA WATU WAKISOMS HUO WIMBO AWARUDI TENA SIJUI WANQOGOPAGA NINI

Umeharibu tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…