Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

Mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa bwana mbona umetaharuki ghafla maana hayo ndo majaribu apitiayo mtumishi.

Nashukuru Baba

Msg deleted spiritually otherwise tumuaachie mods afute kwelimajaribumpendwa

Ubarikiwe tunapitiwaga natambua uwepo wako JF BABA
 
Aisee jamaa yuko fit jamani,

Wanasema mwenye nacho anaongezewa nilichokiona Jana jamaa alikuwa anarushiwa dolla kama Yale makaratasi ya miatano pale leaders

Nilikuwa Serena hotel KGL tukaambiwa Davido anapanda soon jukwaani, heheeeee.Jama amejipanga jamani alishia kuzoa dola za wazungu nilitamani niwe namwokotea.

Alifanya kazi aliotumwa nakama amelipwa basi kihalali.

Nasema hivi nilisikia Majuzi alienda kufanya shoo alipolipwa akatangaza live zinaenda kwa watoto yatima na kumkabidhi mkurugenzi wake zote.

Naomben no yke ya cm jaman..... mweny nayo plz...
 
Ukialikwa na raisi kwenye party utagoma kwenda kisa kanisalako

Mtakosamemayannchibhivihivii duniani

Hapo chini kwenye mstari wa mwisho umeniacha sana mkuuu maana sijaelewa kabisa
 
Naomben no yke ya cm jaman..... mweny nayo plz...

Jamani mump nduguyetu kama mnayo

Cc:mashaarobaro

Kunakipindi alikuwa anaishi jirani na kina HOE embu chk nae mkuu ila usiniulize zaidi
 
Hapo chini kwenye mstari wa mwisho umeniacha sana mkuuu maana sijaelewa kabisa

Oohhh pole ni touchscreen problem mkuu

Ukisoma ninachoandika kuelewa lazima simuyako ubadili to pdidy format

Ama mfumo ama nyambushi ya pdidy kama nimekuacha hapo juu

Usiulize tena na pdidy ni nini..kwa kiswahili
.sijanywa chai Bado niwezekucheka

Ok nilimaanisha mema ya nchi mtayakosa hivihivi
 
Hahahaha.....lazima wakukubali penda wasipende.....JF kitambo....na bado unakimbiza....

Haaahaaaa mpwa subiri NIPATE SUPU HAPA NIWEZE KUCHEKA

NINGEKUWA PUGUSEC NINGEMTAJA MAMA PENDO DAH MAMA ALIKUWA ANATENGENEZA SUPU HATARI SIMCHEZO MPAKA SHULE UNAISIKIA HAMUYAKE
 
Oohhh pole ni touchscreen problem mkuu

Ukisoma ninachoandika kuelewa lazima simuyako ubadili to pdidy format

Ama mfumo ama nyambushi ya pdidy kama nimekuacha hapo juu

Usiulize tena na pdidy ni nini...sijanywa chai Bado niwezekucheka

Ok nilimaanisha mema ya nchi mtayakosa hivihivi

Hahahaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Naomben no yke ya cm jaman..... mweny nayo plz...

Wakikupm namba uje kunishukuru basi HATA KWA

TIGOPESA
MPESA

AIRTEL MONEY BADO SIJACHUKUA NDIO RAHA YA KUCHAT NA WAPENDWA M NASEMAGA MEMA YA NCHI YAKO DUNIANI WE KAAKIMYA USHANGAE UTAISHIA KUPIGA KELELEE

MBONA HUYU ANA HAMMER. MARA ANA RANGEROVER HAYO NDIO MAPENZI YA MUNGU HATA TUPIGE KELELE AWARUDI TENA KWENYE NOAH WALA NINA HAO

naona umekaaa kimya wakati mi naomba kilasehemu mwenyenayo akupm
 
Haaahaaaa mpwa subiri NIPATE SUPU HAPA NIWEZE KUCHEKA

NINGEKUWA PUGUSEC NINGEMTAJA MAMA PENDO DAH MAMA ALIKUWA ANATENGENEZA SUPU HATARI SIMCHEZO MPAKA SHULE UNAISIKIA HAMUYAKE

Yale maji yaliyokuwa yanapikiwa supu yalikuwa hayana fangasi kweli mtumishi wa Mungu.
 
yale maji yaliyokuwa yanapikiwa supu yalikuwa hayana fangasi kweli mtumishi wa mungu.

mtumishi wa mungu tumesoma wote na wewe nddio ulikuwa ukitakasa supu kabla ya kula baba

bado naamini maombiyako yamefanyakazi ingawa kwente fungus kule zone kwetu hope umeelewa wengine tulikunywa dawa mwaka mzima mpaka tukasema mungu hatakama aitoki mwilini basi ihamishie kwenye mkono maana kila saa njiani
..kwenye sherehe yaani wewe unajikuna kama unapiga statataa yale malori ya zamani unanakumbuka unaingiza chuma ndefu alafu unanzankusema moja mbili tatu...ndio unawasha

aisee ule ugonjwa usiwe kwa mwana jf in jesus name

naamini wasomi wa pugusec waliathrika sana na hii fungus hasa kwenye uzazi ..ilitesa sana siriyetu .....
 
Mtumishi mimi nilikuwa nakuja Pugu kwa ajili ya practical ya chemistry,
 
Nakukumbuka mpendwa kwa Mr.......jama Ana shule yake sikuhizi kufundish za wenzio alichoka
 
wenge musica, kofi ollomide na fally ipupa wanaimba kingereza na kiswahili?

Nimesema hivo katika maana pana sio kama ulifikiri haraka haraka.Kofi na Ipupa wanaimmba kikongo na kifaransa,matamasha yao mengi wanafanya ufaransa japo hata ulaya na USA pia wanapata.Lakini hapa niliongelea Lugha rahisi ambayo karibu mataifa yote wanaielewa kiurahisi.Huwezi kuimba lugha moja (isiyofahamika sana )halafu ukategemea upate sapoti kubwa sana.Inabidi usote kwanza ili watu wajue unamaanisha nn.

Davido na wimbo wake mfano wa Aye,ukipigwa Thailand mtu anajua kabisa kwamba kasema,No body can love the way i do.hata hapa kwetu watoto wa sekondar 0-level wanayaelewa hayo maneno,.Sio hap tu hadi Vietnam .Haya chukua wimbo wa mdogo mdogo ama kitorondo sijui,kaupige club ujerumani hata kama ni pale Berlin ambapo kuna club inaitwa Kilimanjaro kwa ajir ya waafrika tu.,ni wachache sana wataelewa nn anamaanisha wengine watafurahia labda beat. Sikuwa na nia mbaya nami nampsapoti dai,cha kushangaza inawezekana umepanic
 
Haahaaa namkumbuka mkuu ingawa sijui kama yukohai ama lah Mungu aendelee kymbariki kizazi kile cha wito
..sijui kama walimu wa wasasa wananwito kama ule shule kwanza pesa baadae
 
Haahaaa namkumbuka mkuu ingawa sijui kama yukohai ama lah Mungu aendelee kymbariki kizazi kile cha wito
..sijui kama walimu wa wasasa wananwito kama ule shule kwanza pesa baadae

Ndio hivyo mtumishi wa Mungu,walijitolea sana wale walimu wa kipindi kile
 
Back
Top Bottom