Mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa bwana mbona umetaharuki ghafla maana hayo ndo majaribu apitiayo mtumishi.
Aisee jamaa yuko fit jamani,
Wanasema mwenye nacho anaongezewa nilichokiona Jana jamaa alikuwa anarushiwa dolla kama Yale makaratasi ya miatano pale leaders
Nilikuwa Serena hotel KGL tukaambiwa Davido anapanda soon jukwaani, heheeeee.Jama amejipanga jamani alishia kuzoa dola za wazungu nilitamani niwe namwokotea.
Alifanya kazi aliotumwa nakama amelipwa basi kihalali.
Nasema hivi nilisikia Majuzi alienda kufanya shoo alipolipwa akatangaza live zinaenda kwa watoto yatima na kumkabidhi mkurugenzi wake zote.
Ukialikwa na raisi kwenye party utagoma kwenda kisa kanisalako
Mtakosamemayannchibhivihivii duniani
Hapo chini kwenye mstari wa mwisho umeniacha sana mkuuu maana sijaelewa kabisa
Oohhh pole ni touchscreen problem mkuu
Ukisoma ninachoandika kuelewa lazima simuyako ubadili to pdidy format
Ok nilimaanisha mema ya nchi mtayakosa hivihivi
Hahahaha.....lazima wakukubali penda wasipende.....JF kitambo....na bado unakimbiza....
Oohhh pole ni touchscreen problem mkuu
Ukisoma ninachoandika kuelewa lazima simuyako ubadili to pdidy format
Ama mfumo ama nyambushi ya pdidy kama nimekuacha hapo juu
Usiulize tena na pdidy ni nini...sijanywa chai Bado niwezekucheka
Ok nilimaanisha mema ya nchi mtayakosa hivihivi
Naomben no yke ya cm jaman..... mweny nayo plz...
Haaahaaaa mpwa subiri NIPATE SUPU HAPA NIWEZE KUCHEKA
NINGEKUWA PUGUSEC NINGEMTAJA MAMA PENDO DAH MAMA ALIKUWA ANATENGENEZA SUPU HATARI SIMCHEZO MPAKA SHULE UNAISIKIA HAMUYAKE
yale maji yaliyokuwa yanapikiwa supu yalikuwa hayana fangasi kweli mtumishi wa mungu.
Davido level zingine lakini lugha inamsaidia pia.
mtumishi wa mungu tumesoma wote na wewe nddio ulikuwa ukitakasa supu kabla ya kula baba
bado naamini maombiyako yamefanyakazi ingawa kwente fungus kule zone kwetu hope umeelewa wengine tulikunywa dawa mwaka mzima mpaka tukasema mungu hatakama aitoki mwilini basi ihamishie kwenye mkono maana kila saa njiani
..kwenye sherehe yaani wewe unajikuna kama unapiga statataa yale malori ya zamani unanakumbuka unaingiza chuma ndefu alafu unanzankusema moja mbili tatu...ndio unawasha
aisee ule ugonjwa usiwe kwa mwana jf in jesus name
naamini wasomi wa pugusec waliathrika sana na hii fungus hasa kwenye uzazi ..ilitesa sana siriyetu .....
wenge musica, kofi ollomide na fally ipupa wanaimba kingereza na kiswahili?
Nakukumbuka mpendwa kwa Mr.......jama Ana shule yake sikuhizi kufundish za wenzio alichoka
Haahaaa namkumbuka mkuu ingawa sijui kama yukohai ama lah Mungu aendelee kymbariki kizazi kile cha wito
..sijui kama walimu wa wasasa wananwito kama ule shule kwanza pesa baadae