sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Kwa mfano, Mtu mmoja tu mwenye mamlaka akiamua amuue mtu fulani kwakua anamkera, kisha muuaji huyo akakoswa kuingia katika mikono ya sheria ya hapa duniani, na akaamua kuomba toba (kwa mujibu wa dini yake) kisha akafia kwenye toba.
Je, huyu aliedhulumiwa nae atalipwa vipi?
Au ndo basi watakutana peponi wote?
Au kama alieuliwa kwa dhurma alikua na zambi ya kuzini na hajatubu ataenda motoni?
Je, huyu aliedhulumiwa nae atalipwa vipi?
Au ndo basi watakutana peponi wote?
Au kama alieuliwa kwa dhurma alikua na zambi ya kuzini na hajatubu ataenda motoni?